IGP mwema mkataze rais leo asitoe hotuba kwani kuna tishio la al shabab

kutokana na taifa kuwa katika kitisho cha al shabab ni vema mwema azuie hotuba ya rais ya leo kwa taifa kwani kitisho hiki bado kinaendelea na bado polisi hawajatuambia kitisho hiki kimeisha

Umeniacha hoi, bravo!!!!!!!
 
kutokana na taifa kuwa katika kitisho cha al shabab ni vema mwema azuie hotuba ya rais ya leo kwa taifa kwani kitisho hiki bado kinaendelea na bado polisi hawajatuambia kitisho hiki kimeisha

umekunywa chai asubuhi wewe!!!
 
kutokana na taifa kuwa katika kitisho cha al shabab ni vema mwema azuie hotuba ya rais ya leo kwa taifa kwani kitisho hiki bado kinaendelea na bado polisi hawajatuambia kitisho hiki kimeisha

Mkubwa uko sahihi kbs! Na bila shaka afanye hivyo mara moja kwa ajili ya usalama wake na hata kwa manufaa ya wana sisiem wake.! Na kama atapuuzia bila shaka ni sawa tu! Yatakayomkuta atajashanga mwenyewe na roho yake!
 
Hata shule pia zifungwe kuna mikusanyiko mashuleni, Al shabab wanaweza kulipua shule. Mwema intelejensia yako uliyosemea chini ya muembe inafanyakazi kuliko CIA na mossad
 
kutokana na taifa kuwa katika kitisho cha al shabab ni vema mwema azuie hotuba ya rais ya leo kwa taifa kwani kitisho hiki bado kinaendelea na bado polisi hawajatuambia kitisho hiki kimeisha

Wee wee wee! alshabab sio kwa rais ni special kwa mikutano ya vyama vya siasa hasa CDM,NCCR, VIKUNDI VYA WANAHARAKATU na mikutano ya Dini TU!! ila kwenda shamba la bibi RUKSA hata Mkuu wa Mkoa wa DAR amewaomba waajiri wawaruhusu wafanyakazi kutoka na kwenda kwenye mkutano wa rais akipokea mwenge na kuhutubia wananchi.
Makengeza amethibitisha kuwa wamejipanga sawasawa kukabiliana na hao kina alishabab hivyo msitie shaka vijana wake wako tayari kwa lolote litakalo jiri ila baada ya hapo hakuna mikutana yoote hadi mwakani!!!!!!!!!!!!
 
hilo li rahis lisi hutubie na mbio za mwenge zisitishwe maana si al shabaab wanalipua maandamano na mikusanyiko?? very stupid ideology..
Aroooo unasema kuwa VERY STUPID IDEOLOGY? umelidhalilisha Jeshi la Mwema na Intelejensia yake. Wewe unajua ni muda gani ummemchukuwa huyu Afande Mwema kuisomea hiyo Intelejensia? Usidharau kazi ya Afande Mwema, Intelejensia yake ndio inakaribisha al Shabab, Inaelekea wanahamu mno na Al shabab
 
kwani watanzania tumechoka kutishiwa al shabab mimi nadhani ni bora tupeleke majeshi somalia au tukae kimya sio kelele za kila siku
 
Kwani utaratibu wa hotuba za kila mwezi umerudi? Au mkuu anataka kutuweka sawa na kutuandaa kwa miaka 50 ya uhuru wa......(wetu)
 
kutokana na taifa kuwa katika kitisho cha al shabab ni vema mwema azuie hotuba ya rais ya leo kwa taifa kwani kitisho hiki bado kinaendelea na bado polisi hawajatuambia kitisho hiki kimeisha

Hotuba hiyo itatolewa katika viwanja gani? Pusi wengine bwana!
 
kutokana na taifa kuwa katika kitisho cha al shabab ni vema mwema azuie hotuba ya rais ya leo kwa taifa kwani kitisho hiki bado kinaendelea na bado polisi hawajatuambia kitisho hiki kimeisha

Hivi kati ya Al Shabab na Magamba nani tishio zaidi kwa waTz? Nani anaua zaidi waTz? Tanzania kuna Alshabab special kwa CDM tuu.
Nadhani Alshaabab = Magamba = Police. Maana mikutano na sherehe zote ruksa lakini Jukwaa la katiba na CDM ndo wanatishia.
 
kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom