IGP MAHITA.....I MISS YOU...! "ngunguri"

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,972
3,830
NIMEKUKUMBUKA MZEE WA NGUNGURI......nchi haikuwa inachezewa na vitoto ambavyo vingedai nhi haitawaliki.....i miss you guy....kila jema halikosi kasoro...lakini i miss you mahita......where are you mahita .....moyoni yapo mengi ya kueleza lakini maandishi yanakosa herufi ya kuyaelezea....ningekuwa najua lygha ya alama labda ingetosheleza kuelezea....I MISS YOU MAHITA
Amka toka ulipojificha....basi hata kivuli chako kionekane.....huenda kikafanya kazi...I MISS YOU MAHITA
 
Haya mambo ya u-miss yametoka wapi tena? Halafu miss wa kweli ni nani kati yako na Mahita? Maana zee Mahita nalo likijibu linaku-miss, sijui utajibuje?
 
NAMISS UTENDAJI WAKE KAZI.......SI KWAMBA MZEE HUYU ALIKUWA HAIJUI POLISI JAMII....ALIKUWA ANAIJUA FIKA ILA HAKUONA KAMA NI SAHIHI KWA JAMII YETU...POLISI WETU WAMEKUWA KAMA "toothless dogs".........! HAKUWA NA MCHEZO KWA WANAOCHEZEA NCHI
....anyway nitafurahi kama atasema anani-miss pia.....
 
....Nam-miss pia WILLIAM....yeye hakuwa anajibizana ovyo...yeye ni vitendo tu
 
nam-miss mchonga.....vijana walipoleta fujo.......ALITIMUA
 
NAmkubali ruksa.......pamoja na kuchorwa kwenye PANCHI.....! hakutetereka
 
na pia mwanajeshi ambaye ameonyesha kiwango kikubwa cha uvumilivu.......MRISHO
 
Back
Top Bottom