Elections 2010 IGP atueleze zaidi

DICTATOR

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
391
3
Watu wa Intellijensia, JF wazalendo mimi nawewe watufanyia kazi tupate majibu. Ikibidi huyu jamaa IGP aweke wazi hilo jambo ili tuweze kupata majibu yaliyo sahihi. Vinginevyo nchi tunaipeleka kubaya zaidi..............
 
Aaah au macho yangu, naona kichwa cha habari na habari yenyewe imekaa kiudaku udaku vile.. ka vile nasoma Ijumaa au Uwazi vile
 
Tunaweza kubishana sana kuhusu kuingizwa kwa kura hizo ama kutoingizwa kwake. IGP Mwema jana alisema hivi walifanya ukaguzi kwa kushirikiana na wadau wote wakiwemo waliotoa madai ya kuona kura hizo lakini hawakubaini kuwepo kwa kura hizo.Hapa polisi na hasa IGP Mwema tunamdai maelezo ya ziada.
Mallaba, nijuavyo mimi, Karatasi za kura uchaguzi wa muungano ndizo zinazotoka Uingereza lakini zile za Uchaguzi wa Zanzibar, zinatoka Afrika Kusini.

Kunauwezekano ni kweli hilo hilo 40 ft contena ndio limeleta mzigo wa ZEC na ofisa TRA amesema kweli, polisi wameamua kufunika kwa vile njia hiyo waliyoitumia sio ile iliyopendekezwa na walitoa fedha zao. Inabidi wayamalize kuitu uzuma tuu.
 
Back
Top Bottom