Ifm

swali lako ni pana mno! apo lazima uwe specific, mwanafunzi wenyewe ndo unaweza kuwa bora na sio chuo.
 
badala ya kukazana ukasome university umekazana na hizi institution na college au matokeo yako hayakuwa mazuri?
 
naombeni kujua udhaifu wake na ubora wake kimasomo, soko la ajira,na maisha ya pale kwa ujumla.

IFM ni Chuo ambacho Ukitaka kushindana na Watu kimavazi au Mapenzi lazma utalia...cha msingi Unatakiwa ujijengee Schedule yako mwenyewe...hapo Maisha utayaweza

Masomo wala hakuna tatizo

ila ajira kama Hujuani na Wenye jiji na Nchi utasota...ila kama ni Dem mzuri ajira ni nje nje...
 
Asikuambie mtu ifm nilivyoisikia tofaut na nilivyo iona.ifm kikosawa saana na hakijawa university sababu ukubwa wa eneo lake tu lakin st john saut udom zote ni universuty lakin kitaalum haziingii kwa ifm.
 
una evidence gan?
 
hapo umenena kaka!!! Institute kiko chini ya wizara ya fedha
 
Back
Top Bottom