Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Kama inawezekana, mijadala ya conflicts za kisiasa kwa kivuli cha msiba Ingesitishwa tuu.
 
Slaa mzee wa visasi, chuki na fitna..

Slaa sasa hii basi inatosha dah!mbona huyu mtu anakua na kisirani kibaya namna hii...ndio maana wapinzani wa chadema wanaiita cdm ni chama cha kususa na kunadamana!urais ushaisha aliepata kapata basi tusonge mbele.hivi visirani vingine wala havina tija,angalia juzi tunaambiwa bosi wake bwana mbowe amekutana na Rais na mzaungumzo yao hayajawekwa bayana mpaka msiba utakapo malizika,yeye mzee wa karatu bado kanuna tu
 
Mimi nadhani JK ndo alitakiwa kumfuata na kumsalimia Slaa sababu yeye ni Katibu mkuu wa CHADEMA ambacho ndio kimepatwa na msiba wa mwanachama na kiongozi wake. Kwa utaratibu wa Kiafrika ukienda kuhani msiba wewe ndo unawatafuta wafiwa na kuwasalimia sio mfiwa akutafute wewe!
 
With all due respect brother Pasco, ninachokiona kwenye sred yako na kinachonichekesha ni kwamba (nadhani bila wewe kujijua) umefafanua kwa upana sana na hisia ni namna gani kukosa kwako ile picha ya Dr Slaa akimsalimu/kusalimiana na dr Kikwete...
Sitaki kuamini ndio lililokupeleka Moro hlo mkuu wangu

Dr Slaa anauza habari, ndo maana wanamfuatilia. unajua kwa waandishi kumpa habari ni habari lakini pia ukimnyima habari, ni habari pia. Hivyo kwa hapo Dr Slaa yuko juu
 
Mi nikushukuru kwa jithada zako kufuatilia kwa karibu viongozi wako, lakini niombe tu kwamba wakti mwingine tujitahidi kutofanya jambo kuwa gumu au kuwafanya wananchi wafikirie vibaya.

Nilivyokuelewa Dk Slaa kutokutana Dk Jakaya sehemu zingine nadhan inatokana na majukumu waliyonayo wakuu hawa lakini kwa pale Ifakara jibu liko wazi kwamba Dk Slaa alikaa nyuma, na kama kawaida rais anasalimia baadhi ya watu afikapo sehemu si wote japo jambo hili haliko kisheria ni utaratibu wa kujiwekea.

Mkubwa unamaanisha kuna uhasama?
 
Askofu Mwingira kashasema J.Kikwete analala na maiti makaburini na kuvaa Pete za majini,kwa hiyo unataka DR. Slaa ajipeleke kichwakichwa kumpa mkono your roving ghost president!?
mbona bosi wake chairman mbowe anakunywa chai na jk kila wakati na hakuna baya lililompata?
 
Pasco,

Dr Slaa ni binadamu mwenye moyo wa nyama kama mimi na wewe (na moyo wake haukuumbwa kwa stainless steel!!). Anayo haki ya kusikitika pale anapofanyiwa unyama na kumchukia mtu ambaye kamfanyia jambo baya, tena makusudi! Kwa vile katiba yetu na sheria zilizotungwa na CCM hazikumpa nafasi ya kuchallenge matokea yaliyomuibia ushindi, si vibaya kutafuta njia nyingine za ku-protest!!

Hata ningekuwa mie, ningepata taabu kukaa nikamkenulia meno mtu ambaye alibaka haki yangu tena ambayo niliihangaikia kwa sleepless nights!!

Mtu kuniibiia ushindii katika uchaguzi mzito kama huo hakuna tofauti kubwa na mtu anaye-over flit na mke wangu!!

Sorry, if you touch my nerves, please expect to see any type of reaction which suits my feelings!!
 
@Pasco

Naomba kujua hapo kwenye msiba Rais JK alisalimiana na nani mpaka kutosalimiana na ionekane issue kubwa...
 
Update-1
Baadae nimekutana Dr. Slaa mahali na kupata fursa ya kumuuliza yale maswali yangu yaliyobakia.

Dr. Slaa menithibitishia kuwa hajawahi kumkacha Jk hata mara moja, bali kila zilipotokea fursa za kukutana hutokea by chances tuu hawajakutana!,

Hivyo ile dhana yangu ya muendelezo wa misuso nimeifuta.

Asanteni kwa kunielewa!.

Pasco!.
 
Kwani watu walienda Kilombero kusalimiana au kuzika? Na kwa nini Pasco usiwatufute watu waliopanga utaratibu wa kukaa na kuwauliza ilikuwaje hawakumpangia nafasi Dr Slaa karibu na Rais ili wasalimiane?

Kwa kumbukumbu zangu Rais Kikwete alituma salamu za rambirambi kwa CHADEMA kupitia kwa mwenyekiti wake (Mbowe) sasa hizi chokochoko za kusalimiana zinatoka wapi? Na Rais Kikwete kasalimiana na kila aliyehudhuria mazishi? au watu wote waliokaa kwenye jukwaa alimokaa yeye Rais? Hii hoja ingekuwa na mashiko kama Rais na Dr Slaa wangekutana ana kwa ana mmoja wao akatoa mkoni kama ishara ya kusalimiana lakini mwingine akauchuna. Kinyume na hapo ni useless spinning. sorry!
 
Update.
Nimekuta na Dr. Slaa mahali na kupata fursa ya kumuuliza yale maswali yangu yaliyobakia.

Amenithibitishia kuwa hajawahi kumkacha Jk hata mara moja, bali imekuwa ikitokea by chances tuu hawajakutana!,

Hivyo ile dhana yangu ya muendelezo wa misuso nimeifuta.

Asanteni kwa kunielewa!.

Pasco!.

Wewe jamaa bana. Una proclivity ya ukurupukaji!
 
mmh
mbona nimemwona Mbowe akisalimiana na Jk? labda wamesalimiana wakati wewe ukiwa na mishemishe nyingine so hukuweza kuona tukio halisi.

Yaani hukusoma mada au vipi? Pasco anaongelea Slaa, wewe unaongelea Mbowe, wapi na wapi?
 
RIP KAMANDA REGIA:
kwani watu walikwenda ifakara ili kuzika au kusalimiana?muhimu ni kile walichoendea au munaonaje mukipanga siku ya kusalimiana duniani?dr slaa ni mtu mwenye msimamo na anajua anachokifanya hana muda wa kushobokea mtu eti kwa sababu anaitwa fulani,na kwa nini dr jk hakwenda kumsalimia dr slaa?hebu kamuulize halafu tuletee jibu.
 
Update.
Nimekuta na Dr. Slaa mahali na kupata fursa ya kumuuliza yale maswali yangu yaliyobakia.

Amenithibitishia kuwa hajawahi kumkacha Jk hata mara moja, bali imekuwa ikitokea by chances tuu hawajakutana!,

Hivyo ile dhana yangu ya muendelezo wa misuso nimeifuta.

Asanteni kwa kunielewa!.

Pasco!.

Dr. Slaa mwenyewe yuko hapa anafuatilia mjadala..wewe jamaaa sio fix kweli?
 
Update.
Nimekuta na Dr. Slaa mahali na kupata fursa ya kumuuliza yale maswali yangu yaliyobakia.

Amenithibitishia kuwa hajawahi kumkacha Jk hata mara moja, bali imekuwa ikitokea by chances tuu hawajakutana!,

Hivyo ile dhana yangu ya muendelezo wa misuso nimeifuta.

Asanteni kwa kunielewa!.

Pasco!.
Ha ha ha! Pasco, mbona unatuuzia mbuzi kwenye gunia?

Hayo maswali ni yapi hayo unayodai ulimalizia?

Yana tofauti na hayo ya kwanza, na majibu je ya tofauti?

I am just interested to know ni maswali gani hayo yaliyokufanya usema umebadili mawazo, pia usichanganye ujumbe wa bandiko hili na lets say kwamba sitaki ubadili mawazo yako.
 
With all due respect brother Pasco, ninachokiona kwenye sred yako na kinachonichekesha ni kwamba (nadhani bila wewe kujijua) umefafanua kwa upana sana na hisia ni namna gani kukosa kwako ile picha ya Dr Slaa akimsalimu/kusalimiana na dr Kikwete...
Sitaki kuamini ndio lililokupeleka Moro hlo mkuu wangu

Hii imeniacha mdomo wazi,kafikia hadi kupanda kwenye makaburi ili kupata picha aliyokuwa anaitaka yeye tu.Na kwa nini amlaumu Dr.Slaa na si Kikwete?
 
Update.
Nimekuta na Dr. Slaa mahali na kupata fursa ya kumuuliza yale maswali yangu yaliyobakia.

Amenithibitishia kuwa hajawahi kumkacha Jk hata mara moja, bali imekuwa ikitokea by chances tuu hawajakutana!,

Hivyo ile dhana yangu ya muendelezo wa misuso nimeifuta.

Asanteni kwa kunielewa!.

Pasco!.
siku ingine ukiambiwa we mtoto usichukie......
unaleta stori za vijiweni hapa, kwenda kule
 
Chadema imejaa wanasiasa wenye misimamo ya ajabu sana. Hana tofauti na Ben Saanane kwa visasi hajambo, muone tu mtanashati na kutabasamu lakini ni balaa.

Hadi sasa naskia hajawahi kukaa meza moja na John Heche kwa kuwa anaamini huyu kabebwa. Huyu ni bingwa wa visasi tangu chuo hasa kwenye masuala ya siasa na ni ngumu sana kumshtukia. Kama Dr.Slaa kafanya hivyo siwezi kushangaa. Watu kama hawa wakishinda urais wa nchi kuna watu watanyang'anywa uraia
Naona wezi mmeanza kujihofia.
 
Back
Top Bottom