Ifahamu misingi ya awali iliyounda taifa hili-jipatie nakala yako

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
386
Hiki ni kitabu Cha Chama Cha Mapinduzi Cha Mwaka 1967 ambacho kinaeleza Misingi ya Azimio La arusha na Siasa ya TANU juu ya Ujamaa na Kujitegemea. Unaweza kujionea pale ambao Tumeenda Mrama na Wapi twahitaji kubadili njia tunayoenda nayo sasa.
 
Attachments

  • AZIMIO LA ARUSHA.pdf
    56.1 KB · Views: 107
Hiki ni kitabu Cha Chama Cha Mapinduzi Cha Mwaka 1967 ambacho kinaeleza Misingi ya Azimio La arusha na Siasa ya TANU juu ya Ujamaa na Kujitegemea. Unaweza kujionea pale ambao Tumeenda Mrama na Wapi twahitaji kubadili njia tunayoenda nayo sasa.

......Chama cha Mapinduzi mwaka 1967?
 
Back
Top Bottom