Tangu Kuanzishwa mwaka 2007, Kindle imajizolea umaarufu mkubwa kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya majarida, vitabu, blogs na habari mbalimbali kutoka vyombo vya habari vianavyotoa habari katika mitandao.
Kwa ufupi KINDLE ni kifaa, tofauti kidogo na iphones au smartphones nyingi kutokana na uwezo wake wa kutoa muonekano halisi wa karatasi kielectroniki na wakati huo huo kutumia umeme kidogo kuliko smartphones.
Kuanza kwa matumizi ya kifaa hiki kumeleta mabadiliko makubwa kihistoria, kwa mfano katika miezi mitatu mfululuzo mwaka 2010, mauzo ya vitabu halisi katika mtandao yalipitwa kwa kiasi kikubwa na mauzo ya ebooks na pia uwezo wake wa kuhifadhi au kukaa na chaji hadi kufikia mwezi mmoja(kindle ya kizazi cha nne)
Kwa sasa Kindle iko katika kizazi cha nne, (fourth generation).........
Soma zaidi hapa katika 2zone