If you have done your very best and you have failed, why don't you resign?

matamvua

Member
Nov 6, 2011
44
10
leo bungeni kwenye maswali ya papo kwa papo, mh tundu lisu alimuuliza waziri mkuu kuwa aliahidi kuwa watashughilikia matatizo la madaktari na mgomo hautotokea tena. Sasa kwa nini umetokea ameshindwa kazi kwanini ajiuzulu?. Waziri mkuu akasema amejitahidi sana kwa uwezo wake wote lakini bado wanagoma. Hapo ndipo lissu akauliza swali la nyongeza "if you have done your very best and you have failed why don't you resign?" Hapo spika akamuokoa asijibu. Wanajamvi mnasemaje hapo?
 
Lissu alikuwa right na wengi tulitegemea uwajibikaji wa Waziri Mkuu kwani alifanya kila kitu ila mgomo umetokea tena hivyo kulinda heshima ilibidi ajiuzuru
 
Lissu alikuwa right na wengi tulitegemea uwajibikaji wa Waziri Mkuu kwani alifanya kila kitu ila mgomo umetokea tena hivyo kulinda heshima ilibidi ajiuzuru
Usishangae! kwenye dictionery ya magamba hakuna neno "kujiuzulu" lakini liko neno kung"olewa! ndiyo kinachotakiwa kufanyika.
 
Kama alivyosema wazr mkuu "kitu kidogo kama hcho kisitufanye tufikie huko". . . .He z also a human,. .Kama ungekua ni wewe mwana jf ungejibu ki2 gan baada ya lissu kuomba ujiuzuru wkt umekua honest kumwambia nimejaribu kutatua tatizo ila bdo cjafanikiwa?
 
Back
Top Bottom