If you have a weak heart dont Open!

acha wachomwe mote,lisilo kufika bana huwezi kulizungumnzia wachawi ni soo,unatafuta kwa uchungu wao wanakuondoa in seconds,chomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

hata ktk vitabu vya dini uchawi upoooooo
 
sishangai sana ndicho kilichomfanya Mwinyi akajiuzulu
Ulaya walichoma na kuwanyonga wachawi wote ndio maana maendeleo yakapanuka
watu wakawa huru kufanya kazi siungi mkono kuchoma wachawi bali wachawi wanarudisha nyuma
maendeleo hasa Mwanza.Shinyanga, Njombe kandoni mwa ziwa. Kigoma nimekaa
uchawi wao sio wa kukomoana bali ni wa kujilinda na ukidhulumu mtu wanakufuata
Sumbawanga nako kama hujawachokoza hawana shida na ww sijasahau Tanga nako
 
Watu wa vijijini wanamatatizo kweli, kisa cha kumchoma mwenzao kama hivyo ndo nini?

MIMI NADHANI HAWANA TATIZO
ila hao wanaoitwa wachawi we bwana wachaa tu,mimi siwamind kabisaaaaa,wao wanawivu wakijinga akitaka tu kuupima uchawi wake basi yupo nawe,kwanini wasitumie uchawi huo kuiba pesa bank wakawa matajiri? kazi yao ni kutoa roho za watu

mimi kwa upande wangu naunga mkono wachawi na wezi kuchomwa moto kwani tayari nimesha onja adha za hawa watu wawili mpaka sasa nateseka kwa ajili yao

amini usiamini uchawi upoooooo na hata ktk vitabu vyote vya dini wameyaandika hayo
 
ama kweli malipo duniani,akhera hesabu tu!...bt ctl i dnt think if tc a gud idea kumchoma m2 kiac kile,4 sure inatisha na kusikitisha...wachawi wengine wajifunze,im sure wauaji ni kati ya waume ambao wake zao walibakwa usiku kiuchawi...cha mtu mali....
 
I hate these witchcraft stuffs. Walimhurumia kweli, wangemgeuza jivu kabisa.
 
Back
Top Bottom