“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

Ashadii itabidi nijaribu hiyo kiss mpaka kilele haijawahi nikuta, ina maaana mimi ni rigid au?
labda wakati anani kiss awe ana keep his fingers walking hahahaaa

Hapo ndipo ninapotofautiana na AshaDii, kissing peke yake???mmh, sio peke yako wengi bado hatujafikia kilele cha mafanikio kwa hili bila finger walk!!
 
Hapo Paragraph ya Kiss ilivyokuwa under estimated, ni kweli kabisa kuna mabinti ambao haihitaji muwe at 6/6 ndo umfikishe ile safari, Only Kisses ( and i mean Deep kissing) inatosha kumfikisha kunako. i speak from my experience,

Kivumah.... ADI is proud of you and your gal.... Keep it up broda.....
 
Hapo Paragraph ya Kiss ilivyokuwa under estimated, ni kweli kabisa kuna mabinti ambao haihitaji muwe at 6/6 ndo umfikishe ile safari, Only Kisses ( and i mean Deep kissing) inatosha kumfikisha kunako. i speak from my experience,
Ohoooo!!! Lalala
 
Thread nzuri sana kwa inayowahusu kwa kweli imenikumbusha mbali enzi hizoooo..... maana haya mambo ya feelings wengine tulishayasahau kutokana na makesheshe na vituko vya kwenye ndoa zetu, maana jamaa akisogeza hizo lips zake all u see is its fake fake maana unajua kabisa kashamaliza kila kitu huko nje hapo anakuzuga tuu ili siku iishe na aonekane kawajibika, basi hamu na mafeeling kushney tunabaki kuangalia kwenye movie na kufantasize.

Pole Ashangedere, umeongea kwa uchungu sana, if u read between the lines. Bt u speak reality
 
Hapo ndipo ninapotofautiana na AshaDii, kissing peke yake???mmh, sio peke yako wengi bado hatujafikia kilele cha mafanikio kwa hili bila finger walk!!

Oh! Sizinga... believe me you wengine wamejaliwa strong feelings and imaginations... Hivi unajua kuna mtu aweza fika by fikra?? ever heard of that?? Ila hio BB aloongea plus wewe ni reliant ya wengi....
 
Hapo ndipo ninapotofautiana na AshaDii, kissing peke yake???mmh, sio peke yako wengi bado hatujafikia kilele cha mafanikio kwa hili bila finger walk!!
JF raha aisee...........miaka yote mi najua Sizinga ni bonge la handsome...... kumbe ni bonge la m-beautiful...... poor ODM!
 
Huyu amesoma kwa makengeza ndo maana hajaona
Na tatizo lake hakumbuki za kwake hata moja because it was out of his will alijikuta tuu analazishwa kukiss haina flavour wala will yake
Ndo maana hana cha kueleza hapa

ha ha ha.... Kwa hio ndo maana umenibania ya kwako?? lol
 
ha ha ha.... Kwa hio ndo maana umenibania ya kwako?? lol

Ya kwangu nishaisema bana
naisema na nasema i have a great moment and i will continue to have a great moment of kissing
Wakati wote na mahali popote huwa naisifu the power of kiss
Its good, wonderful moment and most enjoyable when you have someone loves you and know how to kiss and time to do so
I have my own experience and i can say so forever kiss is like a medicine unapokuwa na mtu anayekupenda na anayejua kutumia kiss kwa wakakti wake
 
Mbona nakupigia afu hupokei? sasa tutaongeaje shem? Au tu let fingers do the talking?

Oh! My darling shem ODM.... No need nilishindwa pokea nipo na mama Matesha hapa tulikua tunasogoa... ngoja nikupigie uongee nae yeye kwanza maana nae ana missed call yako...lol... No need for the fingers shem... no need at all! lol
 
C'mon kaka K.... Say something..... ( I mean add smthing)
I know you mean to add something not otherwise!!lol!!But in other way kiss is everything in good relationship for someone who love the kiss w'll be come automaticaly!Nakama mtu unampenda vya hivihivi hata kiss siyo ile deep ni yakawaida ili kusindikizia wakati wakupata maboz lakini aliyoko moyo kabisa unafeel every angle of your body utakiss deep mbaya mpaka yale mate unasikia kama juice fulani weacha hizi mambo bwana AshaDii ni mekukubali na unani inispare mbaya!!To be honest!!Ngoja niseme no matter how people the will over come me i have said tayari!!!!:hug:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom