“If Only I could have this KISS Forever…..” TGIF!!!

Ashadii itabidi nijaribu hiyo kiss mpaka kilele haijawahi nikuta, ina maaana mimi ni rigid au?
labda wakati anani kiss awe ana keep his fingers walking hahahaaa
 
Nimenasa kwenye jam hapa Magomeni Mapipa. Ngoja nimtwangie bana...... na akisema am a good kisser, she will be kissed mpaka akome!

Very very Iffy shem.... Au you don't KISS her... na when did you last sleep home... hio nayo yaweza toa picha...lol... Hopefully.
 
Week end njema

kissing-couple.gif

Enchanted..... If possible say something bana.....lol
 
Ashadii itabidi nijaribu hiyo kiss mpaka kilele haijawahi nikuta, ina maaana mimi ni rigid au?
labda wakati anani kiss awe ana keep his fingers walking hahahaaa

BB.... You have cracked me Up!! But hata hivo you don't sound uko pande hizo bana.... Hebu mtafute Sinziga tuone.. he maybe of help....lol
 
OMG..kumbe wife naye ni member wa huku au anaifuatilia hii thread..naona anaanza kunikumbushia!
 
PA, hivi King'asti amekimbia wapi tena she was suppose to give me a kiss nasubiria tokea asubuhi hapa mlangoni sasa sijui kaenda kuifuata wapi that kiss
 
dah! hivi kuna watu wameumbwa watamu na wengine sio:hug:

Napenda kweli niseme kua SIO kweli... But that is a fact Chauro.... I believe na extra utundu wa perfecting your self katika hio sector counts...
 
OMG..kumbe wife naye ni member wa huku au anaifuatilia hii thread..naona anaanza kunikumbushia!

Rejao naona Umeamua kunifurahisha... si ndo ulikua unataka...
kabla hujachukua actions tayari karespond.....lol
 
PA, hivi King'asti amekimbia wapi tena she was suppose to give me a kiss nasubiria tokea asubuhi hapa mlangoni sasa sijui kaenda kuifuata wapi that kiss

ha ha ha.... Umenifanya nikumbuke her Former Avatar...
hapa sasa imenifanya nimkumbuke BelindaJacob....lol

Naomba utanipa feedbak if at all you survive her Great Kiss!!
 
Very very Iffy shem.... Au you don't KISS her... na when did you last sleep home... hio nayo yaweza toa picha...lol... Hopefully.
I do kiss her bana........but she is the one who has to declare kama I am a good kisser.........hajawahi nambia na sijawahi muuliza lol.... ....... na sijawahi kumwambia if she is a good kisser lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom