If gaddafi was the president of tanzania

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
If GADDAFI was the president of TANZANIA...... do u think Tanzanians could be in position to organise such a big resistance against him?? on my opinion i think we Tanzanians are not capable and the guy could rule us forever
 
Tungekua na maendeleo kuliko brazil na india!kiasi huyu jamaa ana uchungu na nchi yake
 
Tungekua na maendeleo kuliko brazil na india!kiasi huyu jamaa ana uchungu na nchi yake

kimsingi namkubali kwa suala la vision na maendeleo lakini ifike mahali aachie fresh blood nazo ziendeleze,sasa heshima yote aliyojijengea itashuka
 
madhara ya mobutu kuondoka Zaire,the whole world knows-hivi leo if mobutu was to come back Zaireans would rejoice.Afadhali president akae milele kuliko nchi kusambaritika
 
If GADDAFI was the president of TANZANIA...... do u think Tanzanians could be in position to organise such a big resistance against him?? on my opinion i think we Tanzanians are not capable and the guy could rule us forever
Ingekuwa raha sana maana hatungekuwa na matumizi makubwa ya kufanya uchaguzi ; hivyo kupunguza ugawaji wa hela ovyo wakati wa kutafuta kura na hivyo kupunguza mfumko wa bei.
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Gadaff ni bora kuliko mkapa,mwinyi and Kikwete.Tungekuwa juu ya Kenya and Nigeria Kimaendeleo
 
Kama wameshindwa kuorganize kumtoa JK kumtoa Ghadafi ni ndoto. Kwanza inatakiwa kuzifahamu sababu za kumondoa huyo Ghadafi Libya. Huko Libya Umeme ni bure, maji bure , elimu bure. Nyie bado mnamlilia Wile na umeme wenu wa kijiko.
 
If horses were wished. If we are going to partake in wishful thinking let's at least do so with things that have a slight chance of occurring. Thinking about where Tanzania would be if Gaddafi was our president will take us nowhere.
 
Kama wameshindwa kuorganize kumtoa JK kumtoa Ghadafi ni ndoto. Kwanza inatakiwa kuzifahamu sababu za kumondoa huyo Ghadafi Libya. Huko Libya Umeme ni bure, maji bure , elimu bure. Nyie bado mnamlilia Wile na umeme wenu wa kijiko.

Ni kwa vile mapato yanayopatikana na rasilimali kama mafuta hutumika kuboresha maisha ya wananchi wote. Maisha bora kwa kila mlibya huko inatekelezwa kwa vitendo si maneno tu majukwaani!!
Anachopambana nacho Gadafi ni kule kukataa kutumika na kuruhusu utajiri wa nchi hiyo kuporwa na mataifa nyonyaji ya magharibi.Tatizo kama hilo huwapata viongozi wengi wazalendo wanaotetea kwa dhati maslahi ya mataifa yao na wananchi wao.
Kama Gadafi angekuwa raisi wa Tz watanzania tusingekuwa na matatizo sugu ya ufisadi, maji,elimu,tiba,migomo, umeme, ajira, makazi duni na holela, malaria, mikataba mibaya na ahadi za hewa.
Kazi ya kumng'oa isingekuwa rahisi kwa vile maisha yangekuwa bora kwa kila mtanzania.
 
If GADDAFI was the president of TANZANIA...... do u think Tanzanians could be in position to organise such a big resistance against him?? on my opinion i think we Tanzanians are not capable and the guy could rule us forever
Kusingekuwa na wakristo na mitaa yote ingejaa misikiti badala ya shule
 
Kama wameshindwa kuorganize kumtoa JK kumtoa Ghadafi ni ndoto. Kwanza inatakiwa kuzifahamu sababu za kumondoa huyo Ghadafi Libya. Huko Libya Umeme ni bure, maji bure , elimu bure. Nyie bado mnamlilia Wile na umeme wenu wa kijiko.

yani Libya kila kitu bwerere,watanzania kibao wanadhaminiwa na serikali ya libya kusoma chuo kikuu kule,Libya imetoa ajira ya zidi ya walimu 700 wa Kiswahili ambao nchi yetu ilishindwa kuwapa ajira! hivi shida ya Gaddafi nini nini?
 
jamani walibya wanatafuta laana kweli mkataa pema pabaya panamwita kwa rasilimali tulizonazo tukampata raic kama gadafi 2navyopenda starehe kila cku ingekuwa sikukuu
 
Wanasema eti wanataka mabadiliko..yeye ameongoza kwa muda mrefu hivyo wamemchoka..!
 
jamani walibya wanatafuta laana kweli mkataa pema pabaya panamwita kwa rasilimali tulizonazo tukampata raic kama gadafi 2navyopenda starehe kila cku ingekuwa sikukuu

Hata wana wa Israel walimwambia Mussa (Moses) kwamba wamechoka chakula (Mana) cha kushushiwa toka mbinguni, wakamwambia "Mwambie huyo Mungu wako......" Hivi ndivyo wanavyofanya Walibya.
Nchi za magharibi zina support kwa vile Gaddafi ni kiboko yao walitumia mbinu zote wakashindwa kilichobaki ni chuki tu hawana sababu.:A S 13: Afrika inahitaji akina Gaddafi, Mugabe, Nyerere na wanamapinduzi wengine wenye misimamo...
 
Kaka, kiongozi anatokana na wananchi wake, ni kama timu ya taifa inatokana na timu za nchi hiyo. Usimtegemee Ronaldo Tanzania sahau. Waarabu wanataka kiongozi mwenye mkono wa chuma.
 
swala la gadafi watu wengi wanachangia hawajui namana huyu bwana sera za uongozi wake, mataiafa ya nje yamemchafua sana hadi aonekane kama mnyama kwa kushangilia mabadiliko kuwepo hata kama libya hayakutakiwa kuwa hivyo wao ni uchochezi tu, na wanatamani hata wananchi wawabinafusishie wao, ukweli hawampendi huyo bwana kwa ajiri ya maslahi yo sio libya. msingi wa utawala wa libya uko kimakabila sana walidhani itakuwa rahisi kama tunisia.
 
Back
Top Bottom