IEEE Computer Society

Mheshimiwa embu labda utufafanulie na sisi wote tuelewe ni nini hicho na ni society based on what exactly na kama kuna link yoyote au a lil discription about the society nadhani hapo wote tuta respond ndugu.
 
mheshimiwa embu labda utufafanulie na sisi wote tuelewe ni nini hicho na ni society based on what exactly na kama kuna link yoyote au a lil discription about the society nadhani hapo wote tuta respond ndugu.
mkuu IEEE hii ni proffessional organization kwa ajili ya watu wa electronics, lakini imeji extend kwa fani mbalimbali za technologia, mojawapo ni hii IEEE Computer Society ambayo ina deals na wataalamu wa computer, inawafanya memberz wawe focused kwa kujaribu kuwaelimisha what currently is needed in international competition, issuez za certification, na advantage mbalimbali kwa mfano wameingia mkataba na microsoft kwa hiyo wapata software zote za microsoft guinune bure kabisa. Ishu niliyo kuwa naitaka hapa ni kwamba tukipatikana memberz wengi (minimum of 12) mnaweza kuanzisha branch ambayo mki concentrate vizuri mka focus kwenye ku solve matatizo ya watu kupitia IT wanaweza kuifadhili hiyo project.
 
Ebu sema nini unataka then naweza kukusaidia, Mimi hao IEEE nina access kwenye mabo yao kibao, Kama vipi unaeza kuniPM.
 
mkuu IEEE hii ni proffessional organization kwa ajili ya watu wa electronics, lakini imeji extend kwa fani mbalimbali za technologia, mojawapo ni hii IEEE Computer Society ambayo ina deals na wataalamu wa computer, inawafanya memberz wawe focused kwa kujaribu kuwaelimisha what currently is needed in international competition, issuez za certification, na advantage mbalimbali kwa mfano wameingia mkataba na microsoft kwa hiyo wapata software zote za microsoft guinune bure kabisa. Ishu niliyo kuwa naitaka hapa ni kwamba tukipatikana memberz wengi (minimum of 12) mnaweza kuanzisha branch ambayo mki concentrate vizuri mka focus kwenye ku solve matatizo ya watu kupitia IT wanaweza kuifadhili hiyo project.

si unaona sasa hata na mimi na wenzangu kama 1000 hivi kujua hii ni kitu gani ndugu.. asante sana
 
Ndugu zangu, nilikuwa sijui kwamba Tanzania kuna Institute of Electrical and Electronics Engineers (IEEE Tanzania chapter) mpaka nilipoona ziara ya rais wa IEEE international iliyofanyika mwishoni mwa 2013 na mwalimu Dr. Zaipuna Yonah ndiyo rais wa IEEE Tanzania. Ningependa kujua ofisi zao zilipo ili nipate kujiunga. Mwenye taarifa tafadhali.
 
Back
Top Bottom