Idrisa rashid+radar scandal=kushtakiwa kariuni?

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Alianza Gray Mgonja; huyu tuliambiwa kastaafu( kwa mujibu wa sheria?!) Wiki au miezi michache baadae, Mgonja akaburuzwa kortini kwa matumizi mabaya ya ofisi ( Alex Stewart Scandal)! Leo hii nimeona tangazo, recruitment of Managing Director- TANESCO, nafasi ambayo hadi sasa inashikiliwa na Idris Rashid!!! Ajabu, kwa mujibu wa gazeti la Dar Leo, wao (TANESCO) hawana taarifa juu ya tangazo hilo la kuajiriwa Managing Director!!! Inaashiria nini hii kwa Dokta Rashid? Au ndo safari ya kuelekea Mahakama ya Kisutu kujibu tuhuma za kashfa za rada inakaribia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom