Idi Simba - How Small We Act And Think To Form Big Business In Tanzania

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,031
23,822
  • Resouce mobilization
  • Farming, animal husbandry, fishing business struggle dearly for loans from banks
  • manufacturing and construction dont have proper financial instruments to maximize their activities
  • Micro-Finance banks in Tanzania caters for merely 5% of the demand, that is merely shockingly 500,000 clients.
 
Last edited by a moderator:
PHP:
Micro-Finance banks in Tanzania caters for merely 5% of the demand, that is merely shockingly 500,000 clients.

Wapunguze kwanza Interest rates maana interest rates za microfinance Institutions ziko juu mno!!
Hazimsaidii mjasiriamali bali zinawaneemesha shareholders wa hizi institutions
 
TRA:30%Corp tax;18%VAT
BANKS:20-30% Interest
FAIDA:2%
Hakuna bisahara...ndio maana magendo na madawa hayaishi kuwa na faida
 
Ulusegun obasanjo aliwahi kusema .... kwa interest rates za 18-25% za mabenki ya Tanzania ..... faida hii ni nzuri kuliko hata biashara za madawa ya kulevya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom