Iddi Mubarak ....Karibuni nyumbani

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,792
3,848
DSC_0437.JPG
 
madame umenikumbusha mbali sana..dizain zetu hizo uswahilini! Huku hakuna self service! Ni mwendo wa kugombea,speed yako ndio itakushibisha:)
 
Last edited by a moderator:
madame umenikumbusha mbali sana..dizain zetu hizo uswahilini! Huku hakuna self service! Ni mwendo wa kugombea,speed yako ndio itakushibisha:)
msikititi wa moa na kalali kule lyamungo na machame miaka ya 90 nikisoma lyamungo sec ,,,tuliienjoy sana..:spy:
 
Hapo siyo pa kukosa, hizi bahati ni marachache kutokea,nakuja sasa hivi direction nitajua mbele ya safari
 
Aiya weee!nimechelewa kuingia jf leo,laiti ningesoma uzi wako leo,na kwa jinsi bwabwa lilivyo jingi,ningekuja na wanangu na mzee wangu!nisingeingia hasara ya kupika chakula kwangu,ningeeka cha kesho!
 
Pilau yenyewe haijaenda shule imebaniwa viungo! Pilau sheria yake inatakiwa kua GOLD!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom