Nimeshangaa sana,yaani katika siku ndeeefu za mapumziko IDD Azan,amekaaa amewazaaaa ndo kaona leo aombe muongozo aulize ujinga kama huu kuwa Masaburi kalitukana Bunge,,,,,hakuna masuala ya msingi ya kuuliza,hebu fikiri masaburi si mbunge yupo nje unategemea utapewa jibu gani????mbona mnapenda kuuza sura,pamoja na madudu ya Masaburi,lakin kauli yake eti MNAFIKIRIA KWA MAKALIO naiafiki,kama ni hoja naunga kwa 100%,umeoksa cha kuuliza Azam?basi ALHAMIS uliza hili swali KWA PINDA,MANISPAA YA KINONDONI INA MKAKATI GANI WA KUHAKIKISHA MIGOGORO YA VIWANJA INAISHA????,LINGINE SERIKALI INA MPANGO GANI NA SUALA LA WAUZA UNGA HUKU KINONDONI.LINGINE TANDALE LINI WATAKUWA WANAISH BILA MAFURIKO BARABARANI??HASA KWA BI NYAU