Idd Simba, Salum Mwakinginda wafikishwa mahakamani

Huyo Iddi Simba hayo makaratee tu sitegemei chochote muhimu, yangu macho.
Wataingia ma high priced lawyers hapo na ku redefine what is is.

Hivi kuna wakonongo wanaendesha Hummer mpaka leo?

Lawyer wake ni Mzee El-Maamry, swaiba mkubwa wa mkuu wa Kaya.

Hii kesi inaweza kuwa mtihani mkubwa kwa watu fulani kwa sababu huyu Simba ana mtandao wa nguvu sana. Tayari leo hii kaonesha cheche zake kwa kutoa dhamana yenye thamani ya Tshs 8bn. Na amesema itukumike kuwasaidia hao wengine walioshitakiwa naye! Sinema ya nguvu!
 
Hyo ni muvi ya kihindi tuu bana! Steling anakufa kwenye maua.magamba wameshaanza mazingaumbwe sasa,geresha za kipuuzi 2meshazielewa so hatudanganyk tena.kajipangeni upya hyo technque mlokuja nayo already fail.sasa idd lion ameweka bond ya bilion 8 mahakaman we unafikiria nin tena hapo?
 
Kama huna la kujadili bora usichangie
NSSF wana wanasheria wao na wana utaratibu wao wa kurecover madeni yao so utaratibu utaendelea
na huu wa huyo unayemsema sio ufisadi kama wa huyu aliyetafuna
Jitahidi kuchangia kwa kuona shida za watanzania na sio usukumwe na hisia

Mtanzania mwenye kulia shida kila kukicha huyo aidha ni mvivu wa kutupa au wanawe (kama ni mzee) ni wavivu wa kutupa. Tanzania wanakuja wageni wanauza kahawa (warundi) kwenye mabirika yasiyo na kiwango ukiwauliza wanakwambia wao waha, na baada ya muda wanakuwa na hali nzuri.

Hapa tunaongelea watu wamepelekwa mahakamani na kesi ya Mbowe pia ilikuwa mahakamani. Jee, mbona haiongelewi humu?

Kama una shida Tanzania hii nakuona huna akili vizuri na unahitaji msaada wa madaktari wa kichwa. Fursa zote hizi? Nakwambia hivyo kwa kuwa nimeshaona vijana wa Kitanzania kila ikifika mwisho wa mwezi (pay day) utawakuta wakikesha mabaa na majumba ya starehe, siku tano baadae wanalalamika "maisha magumu", kwa hali hiyo yataacha kuwa magumu?

Huyo ndio kapandishwa mahakamani na sheria inafata mkondo wake. Vyombo vya uchunguzi vimeona wana kesi ya kujibu na wamempandisha mahakamani, na hakimu ndio muamuzi wa mwisho kwa sasa, mlitaka asifikishwe mahakamani?

Nauliza kesi ya Mbowe ya pesa za NSSF inaendelea au ilikwisha?
 
Back
Top Bottom