Monsignor
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 523
- 13
...kwa hiyo angekuwa mweusi anapiga hizo picha usingekereka? yaani mijitu kama hii mzigo mkubwa sana kwenye jamii maana imejaa chuki tuu za kishenzi na hazina sababu zozote na utakuta ndio ya kwanza kulaumu weupe ni wabaguzi,huna tofauti ni ile huku tunayaita KKK...unaonekana hata kusoma hujasoma na hujawahi kusafiri mpuuzi wewe!
Kutumia lugha kama hizi hakuonyeshi una hoja kwenye uliyoandika. Kama kusoma na kusafari matokeo yake ni lugha kama hii basi vyote hivyo havina maana. Bila shaka una miaka mingi mdomo wako haujasukutuliwa.