Idara ya Siasa na mahusiano ya kimataifa ndani ya CCM! Hii imekaaje?

sentimental

Member
Feb 20, 2011
24
15
Hivi hii ina maana gani. Nilivyoona kamati mpya za CCM hii idara sikujua kuwa inawakilisha CCM kimataifa (ulimwenguni) Nilizania ni mahusiano kati ya CCM na vyama vingine? Ina maana kila chama kitakua na mwakilishi wake kimataifa? Ina maana tukienda nje ya nchi tunaenda kwa kivyama au hii inakuaje. Nilivyoona habari leo kuwa mwenyekiti huyo amekutana na mabalozi wa nchi za nje ndio nikaanza kujiuliza je hii i halali. Vyama vya siasa viwe vinawasiliana na nchi za nje individual? Sisis ni nchi (Tanzania) Si dhani kuwa itakua vyema tukiwa na hii CC- kimataifa, Chadema- kimataifa, Cuf - kimataifa. Tutajua hawa watu wanawasialiana na anai huko nje ya nchi? Je wakiwasiliana na magaidi tutamlaumu nani?

Sielewi kama CCM inaona hii lakini huko mbele this is not a good idea at all? Kwa vile kila chama kikiwa na mwakilishi wake kimataifa tutajua ni nani anaomba sponsorship nje ya nchi na kwa manufaa ya nani? ...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom