Idara ya Propaganda

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,502
19,341
Propaganda:


Katika mazingira ya kisasa, propaganda ni njia inayotumiwa na vyama kujipatia wafuasi kwa kuwaambia lolote linaweza kuwavuta hata kama ni uwongo.

Je Tanzania tunahitaji idara za propaganda? Ni Vyama vingapi vya siasa vina hizo idara za propaganda??
 
mzee mbona chama tawala kinao makada ambao
wamesomea hii kazi. nina hakika na wale wa enzi ya vita baridi
japokuwa sina hakika kama wanao wataalamu wengine wenye
ujuzi wa propaganda za dunia ya sasa hususan kwa mazingara ya
tanzania ya sasa.
 
unamaanisha Tambwe Hiza amesomea au John chiligati???

Siku hizi kuwadanganya watu si jambo rahisi. Tafsiri ya propaganda maana yake ni ku-manipulate public opinion kwa lengo la kuwafanya watu wa kubaliane na ajenda yako. Sasa hivi watanzania wengi hawadanganyiki kirahisi kama zamani. Chief propagandist wa CCM alikuwa Kingunge, his last try ended up in misery. Aliongopea watu kwa makusudi matokeo yake ameonekana hana maana tena.
 
Back
Top Bottom