Idara ya Mawasiliano Ikulu Inaaibisha

Angalau blogu ipo. Ni kuiboresha tu. Salva na wenzake walisoma uandishi wakati mambo haya ya blogu na computer havikuwepo.
 
Angalau blogu ipo. Ni kuiboresha tu. Salva na wenzake walisoma uandishi wakati mambo haya ya blogu na computer havikuwepo.

Inamlazimu aende akasome/akaongeze ujuzi wa yale mapya asiyoyafahamu kwenye field yake.Hiyo ndio inayoitwa professional due care.Kama anaona haitawezekana kuhimili hizi mbio basi na awapishe wenye pumzi.He needs to be abreast of what is going on in his field.NO EXCUSES!!
 
Back
Top Bottom