Idara ya Maafa ya Waziri Mkuu lawamani Kilosa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,285
24,158
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa amemtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutoa taarifa ya Michango iliyotolewa na nchi marafiki,Makampuni,Taasis na watu binafsi kwa wahanga wa Mafuriko ya Kilosa.

Pia Slaa amesema Serikali itoe taarifa ya Michango iliyotolewa kwa Wahanga wa Mafuriko ya Dar es salaam na Mabomu ya Mbagala. Slaa aliyasema hayo katika Wilaya ya Kilosa baada ya kuwatembelea Waathirika wa Mafuriko ya Kilosa katika Makambi yao.



video Chadematv ya youtube.
 
Last edited by a moderator:
hakuna kitengo cha ufisadi kama maafa na sherehe cha ofisi ya waziri mkuu pamoja na ofisi ya mkoa dar, wanapokea vifaa na fedha lakini wanawasilisha vitu chakavu na rejected wakati wananchi na corporates wametoa fedha na vifaa premium.DR SLAA IS RIGHT TO TASK THE PM.
 
Back
Top Bottom