Idara ya kilimo/mifugo manispaa ya Temeke wezi..

Mshawa

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
776
306
Idara hii yenye wafanyakazi zaidi ya 80, haina tija yoyote kwa walipa kodi wa nchi hii, hasa wa manispaa ya Temeke kutokana na kukosekana kwa uadilifu katika matumizi ya fedha za uma, ufanisi mbovu wa kazi, elimu duni ya wagani, kujuana kwingi, watendaji duni... TAMISEMI iimulike hii idara kuboresha utendaji wake, mana huyu mkurugenzi kashindwa...
 
Sio hiyo ni serikali yote imeoza!!

Mkuu hawa jamaa wamezidi nimeelekezwa pale, nina shida kijana wangu kangatwa na mbwa so ilinibidi kupitia pale ili nipate notification ya kwenda hosp, majibu niliyopewa ni zaidi ya horible...
 
Idara hii yenye wafanyakazi zaidi ya 80, haina tija yoyote kwa walipa kodi wa nchi hii, hasa wa manispaa ya Temeke kutokana na kukosekana kwa uadilifu katika matumizi ya fedha za uma, ufanisi mbovu wa kazi, elimu duni ya wagani, kujuana kwingi, watendaji duni... TAMISEMI iimulike hii idara kuboresha utendaji wake, mana huyu mkurugenzi kashindwa...

hebu tupe vielelezo vya haya uliyonena ili tupate mahali pa kuanzia debate;
ufanisi duni, elimu duni, kujuana etc.
 
Idara hii yenye wafanyakazi zaidi ya 80, haina tija yoyote kwa walipa kodi wa nchi hii, hasa wa manispaa ya Temeke kutokana na kukosekana kwa uadilifu katika matumizi ya fedha za uma, ufanisi mbovu wa kazi, elimu duni ya wagani, kujuana kwingi, watendaji duni... TAMISEMI iimulike hii idara kuboresha utendaji wake, mana huyu mkurugenzi kashindwa...

duh, nashukuru angalau unajaribu ku-imagine kwamba kuna mamlaka ya kuwasimamia i.e TAMISEMI.
ila nakusikitikia kwamba hao TAMISEMI sidhani hata kama watashughuliswa na hilo.
Mkuu hii nchi tunajiendea tu siku hizi, hakuna wa kukuwajibsha na wala huwajibiki. BUSINESS AS USUAL. siku hizi kila ofisi ya serikali inajiendesha yenyewe kiutawala, labda mishahara /fedha ndo vinatoka serikalini. uwajibikaji ni namna tu anavyoona aliyemo ofisini.
 
Back
Top Bottom