Idadi ya watoto isiyojulikana wapoteza maisha Zanziabar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by G 25, Mar 11, 2013.

 1. G

  G 25 Senior Member

  #1
  Mar 11, 2013
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha huku zanzibar, idadi isiyojulikana ya watoto wamezama kwenye maji! Maeneo ya kijitoupele, mpaka sasa amepatikana mmoja tu akiwa hai' wazamiaji wanaendelea kuwatafuta wengine'
   
 2. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2013
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,489
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Poleni sana Watoto wazuri Munyaazi Mungu Subhanna wa Taalah awaokoe na janga hilo. Inshaallah!!!!

   
 3. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2013
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 11,409
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 63
  Sub-hanallah,,,Allah awafanyie wepes wapatikane wakiwa HAI
   
 4. G

  G 25 Senior Member

  #4
  Mar 11, 2013
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha huku zanzibar idadi isiyojulikana ya watoto wamezama kwenye maji, mpaka sasa amepatikana mmoja tu akiwa hai, wazamiaji wanaendelea kuwatafuta wengine'
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2013
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 20,297
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 63
  Poleni sana sana wapendwa wangu, niko jirani sana na huko, si unanona hata maelezo yangu kweney Avatar
   
 6. m

  mahakama ya kazi JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 1,436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  poleni wafiwa
   
 7. Githeri

  Githeri JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 827
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Poleni wote kwa hili. Walikuwa skuli au mtaani wanacheza?
   
 8. G

  G 25 Senior Member

  #8
  Mar 11, 2013
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Walikuwa wanaenda skuli'
   
 9. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2013
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 951
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazamiaji gani hao leo? Nakumbuka siku Meli alizama karibu na mjini majeshi ya KMKM ambayo ndio Navy ya Zanzibar ilikuwa imejazana kushuhudia watu wakifa hadi pale walipofika Wazungu wa Makampuni binafsi ya Diving ndio wakawakoa hao wachache
   
 10. Tony Gwanco

  Tony Gwanco JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2013
  Joined: Jan 22, 2013
  Messages: 5,940
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  munyaazi nio nn mkulu
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2013
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,526
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  G 25 Kisiwa kimejaa maji?
  Wamezama kwenye nini ?
  Na walikuwa wanafanya nini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  Mar 11, 2013
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,512
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 38
  Jamaa kaona ndio nafasi ya kukejeli !
   
 13. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2013
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 4,829
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 48
  Kinachoniuma ni kupotea kwa maisha ya watoto wadogo!!!!
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2013
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 4,829
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 48
  Mwenye enzi,
   
 15. mzenjiboy

  mzenjiboy JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2013
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu awarehemu.
   
 16. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2013
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,560
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  pole sana kwa familia zao.
   
 17. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndo hivyo tena wameshakwenda tutafanya nini sasa?
   
 18. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2013
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,568
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Poleni majirani zetu.
   
 19. Tony Gwanco

  Tony Gwanco JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2013
  Joined: Jan 22, 2013
  Messages: 5,940
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tanzania ni nchi moja zanzibar ni sehemu ya tanzania
   
 20. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2013
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 11,930
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 48
  Innalillah wain allah rajiun!
   

Share This Page