Idadi ya wapenzi..

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Inasemekana kuwa wanawake walio wengi wamekuwa wakitembea na wanaume zaidi ya kumi kabla ya kuolewa. Idadi ya wanaume imekua ikiongeza siku hadi siku. Takwimu zinaonyesha hadi kufikia hatua ya kuoa/ kuolewa wanawake huwa wamekwisha kutembea/ na wanaume wengi zaidi ya wanawake/ mwanaume anaokuwa ameshawahi kuwa nao kimapenzi. SWALI:- MPAKA KUFIKA UMRI ULIO NAO USHAWAHI KUWA NA WAPENZI WANGAPI NA UNATEGEMEA KUONGEZA WANGAPI MPAKA KUOA/KUOLEWA?
 
sasa hivi 27 na nina mpango wa kuongeza wengine kama nusu hivi ndio nioe.. nikiishaoa napunguza walau wawe 13 kwa mwaka
 
Inasemekana kuwa wanawake walio wengi wamekuwa wakitembea na wanaume zaidi ya kumi kabla ya kuolewa. Idadi ya wanaume imekua ikiongeza siku hadi siku. Takwimu zinaonyesha hadi kufikia hatua ya kuoa/ kuolewa wanawake huwa wamekwisha kutembea/ na wanaume wengi zaidi ya wanawake mwanaume anaokuwa ameshawahi kuwa nao kimapenzi. SWALI:- MPAKA KUFIKA UMRI ULIO NAO USHAWAHI KUWA NA WAPENZI WANGAPI NA UNATEGEMEA KUONGEZA WANGAPI MPAKA KUOA/KUOLEWA?

labda ungeweka bayana wanaume wanatembea na wanawake wangapi kabla hawajaoa
 
Mi mwanaume. Sijui swalilinanihusu???? but am approaching 30
 
Ni kweli unakuwa umeshapitia mahusiano na wanawake tofauti tofauti kabla ya kuwa nae utakayemuona kuwa huyu naweza kutulia nae na kujenga familia.
 
namaanisha idadi ya wanaume au wanawake uliyo wahi kutembea nao

Sio kutembea nao tu, pia nimekimbia nao wengi sana tu. Kwa mfano sasa hivi nipo mtaa wa Kongo, ninaotembea nao kwa sasa tu siwezi jua idadi yao.

Je mwenzangu wewe umewahi tembea na wangapi?
 
Sio kutembea nao tu, pia nimekimbia nao wengi sana tu. Kwa mfano sasa hivi nipo mtaa wa Kongo, ninaotembea nao kwa sasa tu siwezi jua idadi yao.

Je mwenzangu wewe umewahi tembea na wangapi?

namaanisha kufanyanao mapenzi..
 
Inasemekana kuwa wanawake walio wengi wamekuwa wakitembea na wanaume zaidi ya kumi kabla ya kuolewa. Idadi ya wanaume imekua ikiongeza siku hadi siku. Takwimu zinaonyesha hadi kufikia hatua ya kuoa/ kuolewa wanawake huwa wamekwisha kutembea/ na wanaume wengi zaidi ya wanawake mwanaume anaokuwa ameshawahi kuwa nao kimapenzi. SWALI:- MPAKA KUFIKA UMRI ULIO NAO USHAWAHI KUWA NA WAPENZI WANGAPI NA UNATEGEMEA KUONGEZA WANGAPI MPAKA KUOA/KUOLEWA?
Swali lako nadhani linawahusu WANAWAKE na WANAUME, ila umelichanganya mno. Mwanzo ukilisoma linaeleweka kama unamzungumzia MWANAMKE na mahusiano aliyowahi kuwa nayo. Lakini katika swali lako lako katika BLUE linalenga watu wa jinsia zote mbili. Na hapo katika GREEN hujaeleweka kabisa. Funguka vizuri ili upate comments za kueleweka.
 
Page is loading. . .1..2. . 7. 15. . . .38. . .51 Refreshing! Ops sorry, it appears there is network probem. loading is taking longer than expected!
 
Back
Top Bottom