Idadi ya waliokufa kwa athali za mgomo wa madaktari

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Kwa tamko lililotolewa na taasisi za haki za binadamu zinasema watu taklibani watu 1200 wamefariki katika hospitari zote ambazo zilikuwa na mgomo huku maelfu wakiwa Amepata athali zaidi kama ulemavu wa kudumu nk
chanzo Bbc
 
Nchi ya amani hii. Vurugu za Kenya ziliua 1000.
Amani feki ya wabongo wajinga imeua 1200. Idumu amani.
Eee Mungu iangamize nchi hii, haina tofauti na Gommorah!
 
Nchi ya amani hii. Vurugu za Kenya ziliua 1000.
Amani feki ya wabongo wajinga imeua 1200. Idumu amani.
Eee Mungu iangamize nchi hii, haina tofauti na Gommorah!
Hey What is this>( Eee Mungu iangamize nchi hii, haina tofauti na Gommorah!) Mkuu baada ya kumuomba Mwenyeezi Mungu aiokowe nchi yetu wewe ndio kwanza unailani nchi yetu? Ahhhhh nchi yetu imekukosea kitu gani mpaka uilani?kama kulani inatakikana ulani Viongozi wa nchi yetu sio nchi yetu upo pamoja na mimi mkuu mpinga shetani?
 
Ni kweli FL na tena yaweza kuwa zaidi ya hapo, wengi walijifia tu majumbani kwa sababu walijua hata wakienda hospitali hamna lolote litakalofanyika!

Kwa serikali ambayo haijali raia wake wala hata haistuki wao wana medical insurance na wanatibiwa nje ya nchi wala hawajali kama kuna watu wanakufa. Nchi za watu Haji mponda na Lucy nkya sio tu wangekuwa wamefukuzwa kazi lakini wangekuwa jela mida hii.
 
Nchi ya amani hii. Vurugu za Kenya ziliua 1000.
Amani feki ya wabongo wajinga imeua 1200. Idumu amani.
Eee Mungu iangamize nchi hii, haina tofauti na Gommorah!

maneno yanaumba usituumbie maangamizo ktk nchi yetu,nahisi wewe utakuwa si mtanzania,pia wewe ni mpinga mungu sio mpinga shetani,Ee mwenyezi mungu tuepushie maangamizo na mabalaa ktk nchi yetu,pia umsamehe huyu kwani hajui alisemalo
 
Back
Top Bottom