Idadi ya waandishi Tanzania

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
182
Salamu wana JF
jamani naombeni msaada wenu wa haraka sana.
nahitaji kujua idadi ya journalists waliopo katika nchi ya Tanzania
Tafadhali kwa mwenye kujua anisaidie
Asante sana:smiling:
 
Mkuu, nimesema makusudi rundo maana ni vigumu sana kuwa na idadi kamili wa waandishi wa habari. kuna mengi pia hukufafanua vyema. je idadi ya waandishi unayotaka ijumlishe waandishi wa aina gani? waliomaliza chuo chochote cha uandishi wa habari hata vile vya mitaani? wenye shahada ya chuo kikuu? waliojiriwa tu kwenye vyombo vya habari ama ijumlishe na freelancer? ijumlishe waandishi hata wale wa magazeti ya udaku? ijumlishe wapiga picha ambao baada ya kupiga picha za mitaani nao wanajiita waandishi wa habari?

ijumlishe waandishi wa makala, columnists, kwenye magazeti ambao wengine ni wazuri mno lakini hawajapata kupita chuo chote cha uandishi wa habari? you see mkuu, kuna mafungu mengi yanayoangukia kwenye kundi la waandishi wa habari kiasi kwamba siamini hata kama wizara husika inaweza kuwa na idadi kamili. tell you what, kesho nunua magazeti yote yatakayotoka kesho halafu hesabu majina ya waandishi kwenye habari na unaweza ukapata idadi roughly. my two cent...
 
Kifupi wapo wengi sana....esp katika hiki kipindi cha uchaguzi wanaongeza kila kukicha kwa engo moja tu UCHAGUZI baada ya uchaguzi unaweza kupata the exact figure koz watakaobaki ndo waandishi haswa.
 
Nina shida hasa na proffessional journalists hasa wenye diploma, advanced diploma na degrees
Nahitaji rough figure hasa maana kupata exact figure ni issue.
Kindly msaaada wenu bado unahitajika
Cheers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom