Ict staff nssf mnafanya nini ofisini???

nkyalomkonza

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
1,154
443
Ofisi ya NSSF imekuwa ikifanya kazi kijima zama hizi za ICT. Huduma ndogo tu kama kuangalia statement ya mafao yako mpaka uwafuate ofisini kwao. Na Huko ofisini ni Dharau tupu. Kwa mfano:
  1. Wamejaribu kuweka huduma ya kuangalia Statemwent kwenye website yao lakini imewashinda. Hapa na maanisha haifanyi kazi
  2. Wakati kupata Lessen ya Udereva na Card za Bank haichukui zaidi ya siku mbili, NNSF kupata ID (Kitambulisho) inakuchukua zaidi ya Mwezi.
Kama kuna watu wa ICT wanaofanya kazi NSSF hawaoni aibu au hawana la kujifunza kutoka kwa mashirika mengine. Kwa sasa wanazidiwa hata na Dawasco.
 
Heee!mbona mimi nimeridhika na huduma zao jamani,statement nimewezapata kwa website,na kadi yao nilipata ndani ya masaa 72 (siku tatu) hiyo ilikuwa mwezi jana labda kwa sasa wameanza chemsha.
 
Back
Top Bottom