Elections 2010 ICC watuhumiwa wengine wanakuja kutoka Tanzania

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Uwezekano mkubwa wa ICC kuwa busy zaidi mwakani ni mkubwa kwani NEC iko jikoni kuzalisha watuhumiwa wakiwemo NEC wenyewe!

Hivi kubandika matokeo ya Urais kila kituo baada ya kupitiwa na mawakala sio kutangaza matokeo huko? Hivi msimamizi wa jimbo anapobandika ya Urais na kuyatangaza tofauti ni nini?

Hivi nyie NEC kazi yenu sio kutangaza mshindi ngazi ya Urais?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom