Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Uhuru Kenyatta nae hali yake mbaya!
Ruto ana hali mbaya. Majeruhi!
Henry Kosgey and Hussein Ali wameachiliwa
Livestream... http://livestream.xs4all.nl/icc1.asx
Ruto, uhuru, muthaura, and sang wamekwisha
Kosgei na Ali wamechomoka.
Source: Nation.co.ke
muache kuhamisisha fujoMahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai imewapata na Kesi ya kujibu katika mahakama ya ICC wanasiasa wa Kenya William Rutto na Uhuru Kenyata, hili ni funzo kwa wananasiasa wetu.
Ruto ana hali mbaya. Majeruhi!
Henry Kosgey and Hussein Ali wameachiliwa
eh ina maana siku hizi makanisa ndio wanakokimbilia wahalifuSawa kabisa. Makabila yao mawili ndio yaliyouana kwelikweli. Jana walikuwa makanisani wakijaribu kujisafisha