ibrahim masoud(maestro) wa clouds fm atoa shutuma nzito kwa.....

ndivo mlivo...unafiki ndio tabia yenu, mmerithi kutoka kwa yuleyule....na ndomana hamnaga maendeleo...hapo next step ni kwenda kwa mganga hahahahahah :baby::baby::baby::baby:

Masoud vs mahmoud nani mnafki
 
Mimi hapo nimeona moja tu,Ngoja ramadhani iishe,masikini ndugu zetu, halafu wanasema waislamu wanaonewa eti jela zimejaa waisilamu...
 
Maestro namheshimu sana,maneno kama hayo yameharibu taswira nzuri aliyokuwa nayo.angejibu hoja tu na si lugha za kimtaani kihivyo! Hawa ndio watu wa mpira!

Well said. Nami nilikua namwamini sana Maestro wakiwa na Shaffi Dauda, ni shabiki wa kipindi chao, lakini maneno aliyoandika, hata kama ni reaction yana nipa mashaka na elimu yake. Ongeza shule Maestro mana unaoekana ni bomu kabisa. Hivi Clouds wanatumia vigezo gani kuajiri? Halafu anajiita "kijana wa kiislamu". Hamaa kweli ndio mana wanagomea sensa!
 
Ati ngoja ramadhani iishe....unajua kuna kauli uwa zinatolewa barabarani kuwa wakati wa ramadhani miji uwa inatulia hasa sehemu za starehe, waislamu kwa kauli kama za huyu jamaa mtadharaulika na maneno kama haya yataonekana kuwa ni ukweli. Ugomvi wake na mtu unasubiri mpaka ramadhani iishe? Huu ni upuuzi.
mkuu usisahau na kitimoto hua inadoda sana kipindi hiki!,
hata madam spika wakati akiahirisha bunge juzkati kasema mwezi huu mtukufu umesaidia kidogo kuleta utulivu mjengoni!, hahahaaaa.
 
Mimi hapo nimeona moja tu,Ngoja ramadhani iishe,masikini ndugu zetu, halafu wanasema waislamu wanaonewa eti jela zimejaa waisilamu...

Wewe na wenzako wote mnaoushambulia uislam na waislam wote kwa kauli ya huyo bwana mna tofauti gani nae?? Yaani unaweza kukashifu waislam wote kwa jili ya kauli ya Maestro sijui? Hili tatizo la udini especialy kuchukia Waislam na Uislam linawatesa sana!
 
Wewe na wenzako wote mnaoushambulia uislam na waislam wote kwa kauli ya huyo bwana mna tofauti gani nae?? Yaani unaweza kukashifu waislam wote kwa jili ya kauli ya Maestro sijui? Hili tatizo la udini especialy kuchukia Waislam na Uislam linawatesa sana!

Ngoja ramadan iishe kudadeki,liwalo na liwe!
 
Mahmoud zubery mwandishi(mhariri) wa gazeti la dimba
Ameacha Dimba sasa hivi anaendesha blog yake ya Bin Zubery. huyu jamaa kwa kweli amezoea sana kuwatukana waandishi wenzake kwenye magazeti kila kitu yeye anajifanya anajua, aliingia mjini kama mpiga picha wa kujitegemea na kisha akataka kuingia kwenye ubondia bahati nzuri kupiga picha kukamuokoa na kumuingiza kwenye gazeti la Mfanyakazi kama kibarua, hana elimu ni zumbukuku, miye naona ni sawasawa kwa Maestro kumfanyia hivyo labda atabadirika.
 
ZUBEIIIRY.jpg Huyu ndiye Zubery mwenyewe.
 
Nafkiri sasa umefika mbali
sana ww Mahmoud, kama
hujui kitu ni bora uulize,
nani kakwambia kwamba
Maestro ndie final kwa
mambo yote ya ufundi ya klabu ya Simba? usijifanye
unajua kuchanganua
mambo, una muda mrefu
unafanya vijembe kwenye
mitandao, mara alikuwa
mpishi jeshini, mara mfagiaji benki, ilimradi tu, sasa
nakwambia naweza kuwa
nicwe na elimu nyingne, but
elimu ya soka niliyonayo
inaweza kuiongoza klabu
yoyote Tanzania hii, na wala kwa hili siogopi, nani
kakwambia kuwa
Technical commtt ya klabu
ndio ya mwisho kwenye
maamuzi, nafkiri ulikuwa
hunijui vzr, na sasa u want to c other side of me,
wengine hatukuumbwa na
kusema sema maneno
yasiyo na burasa wa la
msingi, ingekuwa hivyo, leo
hii ww usingekaa, mm natoka kwenye media
kama ww, mbona
hukuandikwa kwenye
vyombo vya habari pale
ulipoingiliwa kinyume na
maumbile Kampala kwenye Kagame mwaka 2002
baada ya kulewa chakari
pombe za bure, na ukaanza
kupaka zazuu kichwani au
unataka tukuweke
kwenye mitandao? sasa subiri ramadhani iishe
mpumbavu ww usiekuwa
na dini, unaeendekeza njaa
na kuwafuata fuata watu,
huwa wengine hatuna tabia
za kusema hovyo kama hatuna akili, wala sisi si
watu wa matukio fahamu
kwamba kimya ni silaha
kwa sisi waislamu, usifikiri
kila mtu ana tabia kama
zako, elewa kimya kikubwa kina mshindo!
katu hata taaluma yako
inakwambia si lazima
kumchafua mtu ambae
utaweza kuishi nae
kwa zaidi ya miaka mitano, ni mara ya kwanza nafanya
kitu hiki ili ujue hata sisi
watu wa kukaa kimya
tunaweza kuongea wakati
mwingine, labda
hililitakufanya utafakari, na watu wakushauri kwa
tabia zako, unajisahau
kulea watt wako kazi
kuendekeza njaa kwa
kuchafua majina ya watu,
paka ww! nakusisitiza sitaki unifuate
fuate mm cna tabia hizo za
kike kike kama zako, na
wala sina makwapa ya
kujionyesha tafuta wa
kukufunza adabu kama hujalelewa!
Søurce : facebook kwenye wall yake.

Mbona kama mipasho vile...!!
 
Huyo Bw. Maestro anajitapaje kuwa anaweza kuendesha klabu yeyote ilhali mtu mmoja tu amemfanya aache jazba itawale akili yake?
 
Nilijua tu kama iko siku Mahmoud atagusa mahala pabaya.
Ona sasa ile siri uliyotuomba sana tusiivujishe imeshawekwa hadharani na Maestro!
Ukiwa kwenye jumba la vioo usipende kurushia watu mawe, au ulisahau kama Maestro alikuwepo Kampala wakati ule ulipogongwa na wale wanachuo baada ya kulewa?
 
Hili beef nalifananisha na la dudu baya na mr nice!maestro na zubery watakuwa wanagombea basha haiwezekani watoto wa kiume ugomvi wao wakaweka katika media!!!kama wangekuwa wa kiume kweli wangetafutana wapeana nakoz waheshimiane siyo mipasho na kutoleana siri zao za kugongwa ngozi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom