ibrahim masoud(maestro) wa clouds fm atoa shutuma nzito kwa.....

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,105
Nafkiri sasa umefika mbali
sana ww Mahmoud, kama
hujui kitu ni bora uulize,
nani kakwambia kwamba
Maestro ndie final kwa
mambo yote ya ufundi ya klabu ya Simba? usijifanye
unajua kuchanganua
mambo, una muda mrefu
unafanya vijembe kwenye
mitandao, mara alikuwa
mpishi jeshini, mara mfagiaji benki, ilimradi tu, sasa
nakwambia naweza kuwa
nicwe na elimu nyingne, but
elimu ya soka niliyonayo
inaweza kuiongoza klabu
yoyote Tanzania hii, na wala kwa hili siogopi, nani
kakwambia kuwa
Technical commtt ya klabu
ndio ya mwisho kwenye
maamuzi, nafkiri ulikuwa
hunijui vzr, na sasa u want to c other side of me,
wengine hatukuumbwa na
kusema sema maneno
yasiyo na burasa wa la
msingi, ingekuwa hivyo, leo
hii ww usingekaa, mm natoka kwenye media
kama ww, mbona
hukuandikwa kwenye
vyombo vya habari pale
ulipoingiliwa kinyume na
maumbile Kampala kwenye Kagame mwaka 2002
baada ya kulewa chakari
pombe za bure, na ukaanza
kupaka zazuu kichwani au
unataka tukuweke
kwenye mitandao? sasa subiri ramadhani iishe
mpumbavu ww usiekuwa
na dini, unaeendekeza njaa
na kuwafuata fuata watu,
huwa wengine hatuna tabia
za kusema hovyo kama hatuna akili, wala sisi si
watu wa matukio fahamu
kwamba kimya ni silaha
kwa sisi waislamu, usifikiri
kila mtu ana tabia kama
zako, elewa kimya kikubwa kina mshindo!
katu hata taaluma yako
inakwambia si lazima
kumchafua mtu ambae
utaweza kuishi nae
kwa zaidi ya miaka mitano, ni mara ya kwanza nafanya
kitu hiki ili ujue hata sisi
watu wa kukaa kimya
tunaweza kuongea wakati
mwingine, labda
hililitakufanya utafakari, na watu wakushauri kwa
tabia zako, unajisahau
kulea watt wako kazi
kuendekeza njaa kwa
kuchafua majina ya watu,
paka ww! nakusisitiza sitaki unifuate
fuate mm cna tabia hizo za
kike kike kama zako, na
wala sina makwapa ya
kujionyesha tafuta wa
kukufunza adabu kama hujalelewa!
Søurce : facebook kwenye wall yake.
 
Kwa mara nyingine neno Uislamu naliona likitumika vibaya hapa, sijui ujinga huu utawatoka lini mambo personal kuyahusisha na dini. PUmbavu kabisa.
 
Wote busara hawana...........Ni bora huyo Masoud akepiga kimya tu ili busara zake ziendelee kuonekana.......MIPASHO hii
 
Nafkiri sasa umefika mbali
sana ww Mahmoud, kama
hujui kitu ni bora uulize,
nani kakwambia kwamba
Maestro ndie final kwa
mambo yote ya ufundi ya klabu ya Simba? usijifanye
unajua kuchanganua
mambo, una muda mrefu
unafanya vijembe kwenye
mitandao, mara alikuwa
mpishi jeshini, mara mfagiaji benki, ilimradi tu, sasa
nakwambia naweza kuwa
nicwe na elimu nyingne, but
elimu ya soka niliyonayo
inaweza kuiongoza klabu
yoyote Tanzania hii, na wala kwa hili siogopi, nani
kakwambia kuwa
Technical commtt ya klabu
ndio ya mwisho kwenye
maamuzi, nafkiri ulikuwa
hunijui vzr, na sasa u want to c other side of me,
wengine hatukuumbwa na
kusema sema maneno
yasiyo na burasa wa la
msingi, ingekuwa hivyo, leo
hii ww usingekaa, mm natoka kwenye media
kama ww, mbona
hukuandikwa kwenye
vyombo vya habari pale
ulipoingiliwa kinyume na
maumbile Kampala kwenye Kagame mwaka 2002
baada ya kulewa chakari

pombe za bure, na ukaanza
kupaka zazuu kichwani au
unataka tukuweke
kwenye mitandao? sasa subiri ramadhani iishe
mpumbavu ww usiekuwa
na dini, unaeendekeza njaa
na kuwafuata fuata watu,
huwa wengine hatuna tabia
za kusema hovyo kama hatuna akili, wala sisi si
watu wa matukio fahamu
kwamba kimya ni silaha
kwa sisi waislamu, usifikiri
kila mtu ana tabia kama
zako, elewa kimya kikubwa kina mshindo!
katu hata taaluma yako
inakwambia si lazima
kumchafua mtu ambae
utaweza kuishi nae
kwa zaidi ya miaka mitano, ni mara ya kwanza nafanya
kitu hiki ili ujue hata sisi
watu wa kukaa kimya
tunaweza kuongea wakati
mwingine, labda
hililitakufanya utafakari, na watu wakushauri kwa
tabia zako, unajisahau
kulea watt wako kazi
kuendekeza njaa kwa
kuchafua majina ya watu,
paka ww! nakusisitiza sitaki unifuate
fuate mm cna tabia hizo za
kike kike kama zako, na
wala sina makwapa ya
kujionyesha tafuta wa
kukufunza adabu kama hujalelewa!
Søurce : facebook kwenye wall yake.
Aiseeeeeeeeeee.......aliingiliwa akiwa kalewa???? ina maana masudi ibrahim maestro alikuwa anashuhudia?...bwahahahaha alikuwa nae alikula kiboga cha bin zubery...afu hawa wote ni vijana wa kiislamu...mama yangu....
 
Dooh kumbe Maestro ndio yuko hivi,ama kweli Mbuyu umeleta mambo,hapo eti mtu kafunga na anasingizia uislamu,hovyooo
 
Ati ngoja ramadhani iishe....unajua kuna kauli uwa zinatolewa barabarani kuwa wakati wa ramadhani miji uwa inatulia hasa sehemu za starehe, waislamu kwa kauli kama za huyu jamaa mtadharaulika na maneno kama haya yataonekana kuwa ni ukweli. Ugomvi wake na mtu unasubiri mpaka ramadhani iishe? Huu ni upuuzi.
 
Maestro namheshimu sana,maneno kama hayo yameharibu taswira nzuri aliyokuwa nayo.angejibu hoja tu na si lugha za kimtaani kihivyo! Hawa ndio watu wa mpira!
 
hapo hakuna mtangazaji,hama kweli watu wanapenda kudharirisha dini sana eti subiri ramadhani iishe! Huu ni utindio wa ubongo! Sikutegemea kama huyu mtangazaji anaweza kosa hekima kiasi hiki!
 
ndivo mlivo...unafiki ndio tabia yenu, mmerithi kutoka kwa yuleyule....na ndomana hamnaga maendeleo...hapo next step ni kwenda kwa mganga hahahahahah :baby::baby::baby::baby:
 
Nafkiri sasa umefika mbali
sana ww Mahmoud, kama
hujui kitu ni bora uulize,
nani kakwambia kwamba
Maestro ndie final kwa
mambo yote ya ufundi ya klabu ya Simba? usijifanye
unajua kuchanganua
mambo, una muda mrefu
unafanya vijembe kwenye
mitandao, mara alikuwa
mpishi jeshini, mara mfagiaji benki, ilimradi tu, sasa
nakwambia naweza kuwa
nicwe na elimu nyingne, but
elimu ya soka niliyonayo
inaweza kuiongoza klabu
yoyote Tanzania hii, na wala kwa hili siogopi, nani
kakwambia kuwa
Technical commtt ya klabu
ndio ya mwisho kwenye
maamuzi, nafkiri ulikuwa
hunijui vzr, na sasa u want to c other side of me,
wengine hatukuumbwa na
kusema sema maneno
yasiyo na burasa wa la
msingi, ingekuwa hivyo, leo
hii ww usingekaa, mm natoka kwenye media
kama ww, mbona
hukuandikwa kwenye
vyombo vya habari pale
ulipoingiliwa kinyume na
maumbile Kampala kwenye Kagame mwaka 2002
baada ya kulewa chakari
pombe za bure, na ukaanza
kupaka zazuu kichwani au
unataka tukuweke
kwenye mitandao? sasa subiri ramadhani iishe
mpumbavu ww usiekuwa
na dini, unaeendekeza njaa
na kuwafuata fuata watu,
huwa wengine hatuna tabia
za kusema hovyo kama hatuna akili, wala sisi si
watu wa matukio fahamu
kwamba kimya ni silaha
kwa sisi waislamu, usifikiri
kila mtu ana tabia kama
zako, elewa kimya kikubwa kina mshindo!
katu hata taaluma yako
inakwambia si lazima
kumchafua mtu ambae
utaweza kuishi nae
kwa zaidi ya miaka mitano, ni mara ya kwanza nafanya
kitu hiki ili ujue hata sisi
watu wa kukaa kimya
tunaweza kuongea wakati
mwingine, labda
hililitakufanya utafakari, na watu wakushauri kwa
tabia zako, unajisahau
kulea watt wako kazi
kuendekeza njaa kwa
kuchafua majina ya watu,
paka ww! nakusisitiza sitaki unifuate
fuate mm cna tabia hizo za
kike kike kama zako, na
wala sina makwapa ya
kujionyesha tafuta wa
kukufunza adabu kama hujalelewa!
Søurce : facebook kwenye wall yake.

huyo bin zubeiry kafanya nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom