Wadau screen yangu ya Laptop aina ya IBM ThinkPad T30 imekufa, sasa nataka kuibadilisha, je zinapatikana wapi hapa Bongo na kwa bei gani? Mdau anayejua naomba msaada jamani.
Wadau screen yangu ya Laptop aina ya IBM ThinkPad T30 imekufa, sasa nataka kuibadilisha, je zinapatikana wapi hapa Bongo na kwa bei gani? Mdau anayejua naomba msaada jamani.
Kiongozi Jaribu kutoa more details (SPECIFICATION) For direct support......kwa mfano unaweza kutuambia size ya screen,connection type eg,its LED OR LCD.....Pia nina mashaka kama IBM THINK PAD wana T130 Broda,it might be Toshiba T130...Anyway kaka leta hizo specification then i wil give u Quoatation according to my experience and where will u get them.
Nalonga read between the lines mkuu, siyo IBM T130, nimeandika IBM T30 au unatumia miwani nini? More info ni kwamba Screen haidi-splay chochote ila nikiunga kwenye Flat screen ya Desktop mwendo mdundo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.