IBM flat screen

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Jaman wana JF.Nimeuziwa monitor aina ya IBM flat scree,Haina cable hata moja.Je inatumia cable sawa na flat screen nyingin au IBM Cable zake ni tofauti? Vp indumu au ni bomu?sijui vitu vya kiteknologia kwa undani ndio mana nawashirikhsha jamani.
Nawasilisha.
 
angalia aina ya ports (yale matundu ya kuunganishia cable) zilizopo zikoje afu ripoti
 
Jaman wana JF.Nimeuziwa monitor aina ya IBM flat scree,Haina cable hata moja.Je inatumia cable sawa na flat screen nyingin au IBM Cable zake ni tofauti? Vp indumu au ni bomu?sijui vitu vya kiteknologia kwa undani ndio mana nawashirikhsha jamani.
Nawasilisha.

  • monitor ya IBM model gani ? Uiijuahiiitanweza kusadia ku google taarifa sahihi kuhusu hiyo minotor

  • Port( Viunganisho)vya vifaa vingi vya komyuta vinatakiwa kufuata standard interface connection. Kwa hiyo cable minitor ya flat screen ya IBM nisawa na cable ya flat minitor ya HP, Dell. inachoweza kuwa tofauti ni urefu ,rangi nauimara.

  • Kuhusu kudumu au kutodumu kwa kuwa umeshanunua huna haja ya kuandikia mate wakati tayari minitor unayo. Siku ikifa njoo utujulishe ili nasi tujue kama ni bomu
Kama model yako ni IBM Think Vision L 150 soma maelezo yake na kujua anina ya cable zake hapa http://www.superwarehouse.com/IBM_ThinkVision_L150_15_LCD_Monitor/6636AW1/p/313221
ibm_6636aw1.jpg
 
Baadhi ya watz ni wajinga kupita kiwango! Lakini we ni namba moja kwa ujinga!! Kwa umri ulionao utachukua mda mrefu sana kuerevuka! Yani baada ya kuinunua ndo unatuuliza? Labda nikuulize swali, inatokea wewe unataka unywe sumu na ufe baada ya dk 5,kisha unanunua sumu uijuayo wewe bila kuuliza wataalamu unakunywa inachukua masaa matatu unahangaika tuu kwa maumivu hufi! Baada ya hapo unawauliza walimwengu kuwa eti sumu gani itakumaliza haraka?
Kwa kukusaidia we mjinga ni: monita hiyo inatumia adapter? kwa upande wa VGA cable monitor nyingi sana ikiwemo aina ya IBM zinaingiliana,kama haitumii adapter chukua cable yoyo ya euro cable ikonecti kwenye umeme na VGA ikonekti kwe CPU kisha washa komputa
 
Asante kwa kunitukana.Nakushukuru kwa mawazo mazuri uliyonipa.Nimeshindwa kukujibu kwa jeuri sababu mimi ni muungwana.Kama inatumia adapter ni ya aina gani?ngoja nikirud home nitaichunguza then nitakujuza.Kweli mimi ni MPUMBAVU.
 
Baadhi ya watz ni wajinga kupita kiwango! Lakini we ni namba moja kwa ujinga!! Kwa umri ulionao utachukua mda mrefu sana kuerevuka! Yani baada ya kuinunua ndo unatuuliza? Labda nikuulize swali, inatokea wewe unataka unywe sumu na ufe baada ya dk 5,kisha unanunua sumu uijuayo wewe bila kuuliza wataalamu unakunywa inachukua masaa matatu unahangaika tuu kwa maumivu hufi! Baada ya hapo unawauliza walimwengu kuwa eti sumu gani itakumaliza haraka?
Kwa kukusaidia we mjinga ni: monita hiyo inatumia adapter? kwa upande wa VGA cable monitor nyingi sana ikiwemo aina ya IBM zinaingiliana,kama haitumii adapter chukua cable yoyo ya euro cable ikonecti kwenye umeme na VGA ikonekti kwe CPU kisha washa komputa

boc wangu wewe ni hatari umempa ukweli mtupu
 
Mkuu naona watu wanakushambulia ukienda duani sema unataka VGA cable/ waya wa flat screen monitor
Waya wenyewe una vichwa viwili kimoj cha kuunganisa upande wa Monitor kinginee cha kuunganisha upade wa PC . Nimekuweka na picha hapo
3518905_500x500_1.jpg

Mpaka hapo nadhani utakuwa umeelewa.
 
asante mtazamaj.hii monitor ni ya 2001.Na type yake IBM FLAT SCREEN type 9511-dw4.inaonekana inatumia pini tofauti na ulizonionyesha.Nimeangalia pini yake inakuwa ndefu zaid ya hizo ulizonionyesha.Nisaidie jinsi ya kuattachb picture.
 
OK hiyo part number imetoa msaada mkubwa sana kwenye ku google. Na hiyo part number ndo msaada wa kupata cable sahihi hata utaapokwenda kutafuta dukunai

Hiyo Minotor inatumia cable ya DVI na sio VGA standard kwa mujbu wa vyanzo nilivyosoma.

So cabale unayotakiwa kununua ni DVI to VGA amabayo itakuwa na vichwa kama hii picha inavyoonyesha

11045450_090.jpg

Sasa sababu kompyuta na nyiingi display intefaces nyingi zilizopo ni VGA . kama cable uliyonayo ina vichwa vya DVI kote kote . yaani kama hii picha

dvi-m-to-m---3.jpg
utahitajika kununua converter ambayo utapachika kwenye computer ili iweze kuoanisha cable hiyo monitor na computer

DVI to VGA converter yenyewe inakuwa kama hivi
140.jpg

----------------------------------------------------------------------------------------------------------

Kuhusu ku attach picha Angalia hapo kwenye unayotumia uandika comment huo msatri wenye B I U. Ukiendelea kulia zaidi utakuta nembo ya bahasha. Badaa ya nembo ya bahasha kuna nenmbo ambayo uki click unaweza kutumia ku attach image.

Kifupi ukisogeza cursor yako kwenye vinembo unavyoona juu ya kibksi cha kuandika commnet itakumbia kila kinembo kitafanya kazi gani na unaweza kutumia. iwe kua attcha video, code au picha.

Sorro hata kwa kiswahili my first anguage nashindwa kuelezea. vizuri.
 
kutokana na jinsi ulivyo google system yake ya power inatumia adapter?maana naona kuna sehemu kama kuna kitobo cha adapter.Pia nauliza cable hizo zinaweza kuwa shilini ngap?Na hiyo convftop pia sh ngap?
 
soma maelezo nyuma ya hiyo screen alafu useme wameandika kuhusu power 'input wameandika volt ngapi?'
 
kutokana na jinsi ulivyo google system yake ya power inatumia adapter?maana naona kuna sehemu kama kuna kitobo cha adapter.Pia nauliza cable hizo zinaweza kuwa shilini ngap?Na hiyo convftop pia sh ngap?

Tizo bei ya hizo cable inategema uko wapi. Sijui inaweza kuwa shilingi ngapi but nahisi haiwezi kuzidi Tsh 15,000

Power requirement soma kwenye hii page Lenovo Support - T54D 15.0-inch White Digital Flat Panel Monitor - Overview una kipengele cha power requirement.

Au cheki hii http://download.lenovo.com/ibmdl/pub/pc/pccbbs/visuals/l170_eng.pdf
manual document japo siyo ya minotor yako itakupa picha kamili
 
tizo bei ya hizo cable inategema uko wapi. Sijui inaweza kuwa shilingi ngapi but nahisi haiwezi kuzidi tsh 15,000

power requirement soma kwenye hii page lenovo support - t54d 15.0-inch white digital flat panel monitor - overview una kipengele cha power requirement.

Au cheki hii http://download.lenovo.com/ibmdl/pub/pc/pccbbs/visuals/l170_eng.pdf
manual document japo siyo ya minotor yako itakupa picha kamili

asante mtazamaji umenieleza kwa kina na nimeelewa sasa.Uamuzi niliofikia ni kurudisha hiyo monitor kwa mwenyewe kwani nimeinunua elfu 50000,kama nikinunua adapter 35000 +DVI to VGA cable 15000 +50000 ya monitor nafika kwenye 100000 hapo kwa uelewa wangu nahisi ni hasara kubwa sana.Mazingira ya biashara yanaruhusu kumrudishia kwani tulishakubaliana.Ntanunua CHOGO KWA MUDA.
Asante Sana kwa kunijuza kwa kina.
 
Jamani nashukuru sana.Nimemrudishia mwenyewe na kanipa chogo moja dogodogo.nitakapokwama nitawaambia.Nashukuru JF members.
 
Back
Top Bottom