Iam looking for male/female friends

oooh so point yako ni kuonyesha sina la maana??? at this age kuna wanaofanya makubwa sema tu umetawaliwwa na fikra zako unazoziamini..dont think kila alie umri huu ni wa kushow off fb na mitandao mingine.
tuko tofauti


Niambie nini unachokitafuta?
 
23 bdo mdogo sana???labda unishauri nianzie umri gani?nikae ndani mpk lini ndo nianze kujichanganya na watu..hujui hata graduates tunatumia njia hii kupata kazi?or unadhani kila binti anaepost hivi anatafuta bwana au anajiuza? niambie nijifunze smart
Kumbe ume graduate...
 
Binti ukijiunga tu jf wote ni marafiki zako!
Anzisha mada au changia mada kwa kila jukwaa kamwe hautakua bored!!
Huo urafiki wa PM mpaka mfahamiane ni kutafuta mafuriko na huishi bondeni.
 
hello jf!!
hope you are doing fine!
am aggie from dar,am looking for friends wa kufahamiana nao tu na kuwa marafiki cz naboreka!
jinsia zote wanakaribishwa ila sitaki wenye mambo yakihuni gals usiwe mmbeya wala kigeugeu!
this is all about making connections!
am a single girl...wa kawaida sio wa kishua...23 years pia old...fair black ...mengine utayajua pm!
karibu!

Ma friend wa Kiume watakushawishi zinaa, kaa nao mbali kabisa La takrab zinaa
 
Ww ni graduate je hukuweza kupata marafiki masomoni???? We ni msichana huendi kanisani ??
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom