I wish nisingekutana nae

Soma kwa makini what has been put forward na mwenzetu... imenisikitisha sana. Familia, kabila, anakokaa nk. Mbona alianza hata kutoka nae if it seems it was against all odds(because the only complement ametoa ni kwa alimpenda huyo binti tu - not what she represented!)

De Novo hate my guts but I speak what is from my heart maana imenigusa.

dadaangu, ndio maana Mungu hakuturuhusu kuwaza kwa sauti. unaweza kuwa great thinker lakini ukakosa namna ya kumwelewesha mtu kile kilichokufanya ukae na kuwaza kwa kina. sasa inapofika wakati mtu kuyatoa yake ya ukimyani anakuwa sumu? hata wewe kuna mambo ungeyaweka hapa jukwaa lingekushangaa. just be fair, and i learn from mistakes.

on the red, i wish u knew how i tried to avoid in the beginning. most women are so desperate just to have some one regardless of the presence of love or not. soma hiyo thread vizuri. nilisema, usitake kujua kiundani sana ila yatafakari hayo. u dont get the meaning. if u dont read between the line how can you so suddenly judge?
 
Kingi - In life you have to be tough to be kind. Nilisoma even between the lines. Advice yangu ni moja one cannot please everybody, but its better to be a man of honour... Yaani ungemweka bayana huyo binti kutoka mwanzoni.

In life we always take the road most travelled. Robert Frost aliandika kwenye Poem ... Take the road less travelled and it will make all the difference.(It was straight and narrow)

This road tells you to be true to yourself and others, na hapo huyo binti hangebuild expectations zozote. Pia soma kwenye Bibilia kuhusu 1 Corinthians 13:1-8a and 13.
 
Story yako imenigusa sana Kingi kwani na mimi kuna binti mmoja tuliingia kwenye mapenzi kupitia simu na email sasa tumeonana nimegundua kuwa simpendi kama ambavyo nilikuwa nahisi mwanzo, napata tabu sana manake yeye anaonyesha kunipenda sana wakati mimi kama vile najisukuma kumpenda kitu ambacho naona kitatuletea matatizo baadae. Am in dilemma

All fall down

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=EQVeXzMBvQk[/ame]
 
Kingi - In life you have to be tough to be kind. Nilisoma even between the lines. Advice yangu ni moja one cannot please everybody, but its better to be a man of honour... Yaani ungemweka bayana huyo binti kutoka mwanzoni.

In life we always take the road most travelled. Robert Frost aliandika kwenye Poem ... Take the road less travelled and it will make all the difference.(It was straight and narrow)

This road tells you to be true to yourself and others, na hapo huyo binti hangebuild expectations zozote. Pia soma kwenye Bibilia kuhusu 1 Corinthians 13:1-8a and 13.

nijaposema kwa lugha za wanadamu... bora kuwa kimya maana haya mambo ni mapana kwa upana wake. ila upendo una tafsiri zake. ninapoamua kumweleza kuwa sasa basi, na kuwa huko mbeleni haya maisha unayoaka na mimi hayapo, na kweli namaanisha hivyo huo nao si upendo? kuna haja gani ya kusukumia uchafu chini ya kapeti na kupretend kuna upendo?
 
now we can discuss. kwa kuwa mi si mkamilifu basi niukubali udhaifu wa mwingine kama msalaba wangu? only JESUS did that for us.

hii nukuu nayo ina uzito wake
usitake kujua undani zaidi ila yatafakari haya kwa sasa.
[/QUOTE]

Je umemwacha huyo msichana baada ya wewe kupata msichana mwingine, au umeamua kumwacha ili utafute? Usijekuwa uko pussywhipped unasingizia eti umemwacha kwa ajili ya udhaifu wake wakati huo huo wewe ukiwa dhaifu?

Na je huyo msichana uliwahi mpa ahadi yeyote ya kuwa nawe na kumfanya aanze kujenga magorofa kichwa kuhusu future yenu? Una uhakika hana mimba yako wakati unamwacha?
 
Je umemwacha huyo msichana baada ya wewe kupata msichana mwingine, au umeamua kumwacha ili utafute? Usijekuwa uko pussywhipped unasingizia eti umemwacha kwa ajili ya udhaifu wake wakati huo huo wewe ukiwa dhaifu?

Na je huyo msichana uliwahi mpa ahadi yeyote ya kuwa nawe na kumfanya aanze kujenga magorofa kichwa kuhusu future yenu? Una uhakika hana mimba yako wakati unamwacha?[/QUOTE]

im looking for one now. Ceteris peribus
 
Hivi vitu vipo bwana Kingi kuna kabila moja nilikuwa naliogopa sana niliomba mungu anisaidie nisipate mwenza mitaa hiyo thanx god sikumpata
 
king....hii yako iko sana tu.....na si lazima kwa upande wa mwanamme kutompenda mwanamke.

mie ishanitokea hii............tulikuwa marafiki wa kawaida, ikatokea yeye kunipenda (kwa vitendo na maneno yake) hadi kutangaza ndoa kwangu

mie sikumkumpenda licha ya elmu yake kubwa, kabila lke sililomatatizo, na umbo lake!

nilimuonea huruma sana wakati namwambia kuwa simpendi na siwezi kuwa nae ........lakini pia nilijipa moyo kuwa nilimpenda ndo maana nikamwambia kaa simpendi kuliko kumpotezea muda ( wengine ndo wangepata chance ya kumchuna hapo)

all in all kwa upande wangu nahisi mapenzi ya upande mmoja yapo, na badala ya kuendelea nayo bora mtu ayasimamishe mapema iwezekanavyo
 
bora F1 na Gaijin mmeona hilo na wao wapate kuona hayo. sasa sijajua kipi bora: kuwa kimya au kuwa mkweli
 
bora F1 na Gaijin mmeona hilo na wao wapate kuona hayo. sasa sijajua kipi bora: kuwa kimya au kuwa mkweli

Afadhali uwe kimya kuliko kuleta uongo wako hapa kutaka symphathy kwa mambo ya kifirauni uloyafanya, guilty feelings are haunting you, annh?

Gaijin, huyu Kingi sio kwamba hampendi huyo binti, anampenda. Asichokipenda ni maisha yake ya nyuma, kabila lake na familia yake. Kingi hajui kupenda wala hajawahi penda. Ukipenda boga unapenda na ua lake, na mwenye mapenzi ya kweli hawezi kuona vitu trivial. Uko pussywhipped na wewe ni elitist wa aina yake.
 
I find it very difficult to comment on this since i dont know a lot of things that you have deliberately decided not to disclose, however i find some elements of sincerity in your post, i think there are some serious issues that led to that decision.All the best in finding your soul mate. As for her, i believe she will be ok, we have all been hurt at some point, and i think thats maturity in lovelife, it prepares you to overcome storms in marriage.
 
mimi naogopa ku-comment manake dark city alisisitiza nipumzike kwa ajili ya maandalizi:D
 
ama ...nadharia ya mapenzi ni kubwa
kuna wengine wanaamini kuwa kumpenda mtu yeye mwenyewe tu ni sehemu ndogo ya mapenzi na sehemu zilobakia zinajazwa na mapenzi kwa past yake, future yake, wazee wake, kabila lake n.k
nafikiri wanauchukuia vizuri ule msemo "no man is an island" kwa hiyo kumpenda yeye tu hakutoshi, mkiwa pamoja itabidi ukabiliane na past, future, wazee, na kabila lake.
 
I find it very difficult to comment on this since i dont know a lot of things that you have deliberately decided not to disclose, however i find some elements of sincerity in your post, i think there are some serious issues that led to that decision.All the best in finding your soul mate. As for her, i believe she will be ok, we have all been hurt at some point, and i think thats maturity in lovelife, it prepares you to overcome storms in marriage.

u know how to make analysis of things. kwa hilo nakupongeza. ni kweli sina nia ya kuanika kila kitu hapa ila walao kwa hizo dondoo mtu anaweza kujua jambo

ama ...nadharia ya mapenzi ni kubwa
kuna wengine wanaamini kuwa kumpenda mtu yeye mwenyewe tu ni sehemu ndogo ya mapenzi na sehemu zilobakia zinajazwa na mapenzi kwa past yake, future yake, wazee wake, kabila lake n.k
nafikiri wanauchukuia vizuri ule msemo "no man is an island" kwa hiyo kumpenda yeye tu hakutoshi, mkiwa pamoja itabidi ukabiliane na past, future, wazee, na kabila lake.

umesema vyema, ndugu. ukipenda boga penda na ua lake. unfortunately ua sikulipenda so sikuwa na sababu ya kulichukua boga. au ningechuma boga na kunyofoa ua kisha kulitupa?
 
Lets be serious. Huyu sio wa kupewa pole. Wewe ni mchafuzi tu, kumpotezea binti wa watu muda. Love is not selfish, love does not ask why... kabila, hali ya maisha...samahani lakini kaka inaonyesha jinsi ulivyo na narrow-mindedness.

Nilidhani hii ni forum for Great Thinkers!

Kwa hiyo wewe hujawahi kupendana na mtu then mkaachana?
What were the reasons?
Unataka kutuambia ukishapenda basi....uwe kipofu, upoteze uwezo wa kufikiri, upoteze direction ya maisha yako au rather u-change purpose ya maisha uliyoiweka?

wake up pipo! life is not a rehersal, it is a perfomance!
 
I find it very difficult to comment on this since i dont know a lot of things that you have deliberately decided not to disclose, however i find some elements of sincerity in your post, i think there are some serious issues that led to that decision.All the best in finding your soul mate. As for her, i believe she will be ok, we have all been hurt at some point, and i think thats maturity in lovelife, it prepares you to overcome storms in marriage.

Haya mapoint tupu!!! hayana mapwouuuuuda wala nn!!
That how life treats we, and we need to know that.
 
... ukipenda boga penda na ua lake. unfortunately ua sikulipenda so sikuwa na sababu ya kulichukua boga. au ningechuma boga na kunyofoa ua kisha kulitupa?

Penye ukweli uongo hujitenga kaka, kwa kauli hiyo wewe hukupenda ila ulikuwa unampotezea mwenzio muda na kuexploit feelings zake. As hatumjui and no oneknows her side of the story. May be she wishes the same, mey be umeabuse penzi na hisia zake.
 
.

sikuipenda familia yake
No comment !

.
sikuyapenda maisha yake ya awali.

That means she has changed! to the better ? or worse!

.
sikupenda anapoishi. sikulipenda kabila lake. nilimpenda yeye tu! ningetamani kuwa nae lakini ndoa ni mfumo. unahusisha koo mbili na zaidi na kuzifanya familia. yaweza kuwa ni ya kutunga ama ni kweli, lakini mapenzi ni nini? usitake kujua undani zaidi ila yatafakari haya kwa sasa.

Kama ni kweli ! Pole, But remember : To disbelieve is easy; to scoff is simple; to have faith is harder.
Have faith man.
 
Penye ukweli uongo hujitenga kaka, kwa kauli hiyo wewe hukupenda ila ulikuwa unampotezea mwenzio muda na kuexploit feelings zake. As hatumjui and no oneknows her side of the story. May be she wishes the same, mey be umeabuse penzi na hisia zake.

sijajua nikuite dogo au nani (jinsia). nitakuunganishia basi. nilikosea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom