i wish ianzishwe database

Mary Glory

Senior Member
Mar 20, 2011
124
20
i wish ianzishwe data base ambayomajina ya wanawake kwa wanaume walioshindikana kuishi na waume or wake zao yawekwe ili kama ukipata mwenza ambae mnataka kufunga pingu za maisha basi unakuja kuscreen jina lake ktk hii database ili kujua kama yumo kwenye list au la.ka ni wazo tu na naona itasaidia sana kuwaepusha watu na watukmajini.
 
Mary Glory pole dear... yamekupata nini???
Ni wazo zuri, but haya majina ya nyumbani na njiani itakua issue...
 
i wish ianzishwe data base ambayomajina ya wanawake kwa wanaume walioshindikana kuishi na waume or wake zao yawekwe ili kama ukipata mwenza ambae mnataka kufunga pingu za maisha basi unakuja kuscreen jina lake ktk hii database ili kujua kama yumo kwenye list au la.ka ni wazo tu na naona itasaidia sana kuwaepusha watu na watukmajini.

Ni wazo zuri but ukishaangalia na kukuta jina lake kwenye database ndo inakuwaje? unamkataa au unafanyaje sasa?
 
Ni wazo zuri but ukishaangalia na kukuta jina lake kwenye database ndo inakuwaje? unamkataa au unafanyaje sasa?
Inakuwa kama alert kwamba care has to be taken na huyo ulienae coz jina lake limeonekana kwenye database ya defaulters.na utaweza kufanya maamuzi sahihi ya kusuka au kunyoa.
 
Watu hushindwa kuishi na wake au
waume zao tokana na sababu mbalimbali...

Na wengine huo/ olewa kwa dhumuni fulani
Na si upendo ..
Na vipi je kama wewe ndie aliepangiwa au we uliepangiwa..?

Binafsi kama mtu ameachana na mkeo
Mumeo sioni haja ya kumkandamiza na hilo
Ili asipate mpenzi mwingine...

Ili mradi awe loyal, trustworthy kwako...
 
Watu hushindwa kuishi na wake au waume zao tokana na sababu mbalimbali...Na wengine huo/ olewa kwa dhumuni fulani Na si upendo .. Na vipi je kama wewe ndie aliepangiwa au we uliepangiwa..?Binafsi kama mtu ameachana na mkeo Mumeo sioni haja ya kumkandamiza na hilo Ili asipate mpenzi mwingine...Ili mradi awe loyal, trustworthy kwako...
Naongelea kwa wale ambao it has become their habits kuoa/olewa na kuacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom