I Will Never Trust Any Man

ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na mpendwa wake ooh me nimepata shock naapa sitapenda tena,haya ni maneno ya mdogo wangu camilla,
Even your dad,come on!
 
Umejifunza somo. Ukipata mwingine kumbuka kuweka "akiba" kwa ajili yako mwenyewe.
Usiwekeze hisia zote 100% kwa anayekuambia "nakupenda", utaumia kama ivi.
 
akikua ataacha kuongea maneno kama haya, she will find herself trust a man every single day, the best thing to tell her is that, she is too beautiful for that man and God knew that he doesnt deserve her,
 
Kisicho ridhiki hakiliki. Hebu fikiria kama Ndikumana angekuwa amemtokea mdada mwingine baada ya kuachana na Irene Uyowa, halafu huyo mdada akamkubalia. Siku inayofuata magazeti yanatangaza kuwa wamerudiana. Yote ni majaaliwa
 
oooohhhh sweetheart.... pole sana.. mapenzi kizunguzungu Mpendwa...
 
Ndo uhalisia huo mama weee
hamkawii kumwambia mume kua mtoto c wake,
au kumuua mume mpate mali kama wamachame

wamachame wakikuibukia hapa ujiandae kujitetea. Wanawake wengi waaminifu, wanaweza kuishi na mpenzi mmoja na wakaridhika. Wanaume si waaminifu, mnachangia kwa kiasi kikubwa kuwafanya wanawake wafanye mnayoyafanya nyie.
 
Mahesabu ya bongo yasikuumize kichwa. Asilimia sabini ya watu wangapi? Na ni kwa nini walipima? Hao walopima walikuwa tayari wanajua kinachoendelea hivo walienda ku confirm na hawakupima kujifurahisha; hivyo hizo data zisikuumize kichwa. Ni za waliozaa nje ya ndoa waliotaka kupima kama mtoto wa kimada ni wake au kuna waliomsaidia. In fact ilitakiwa iwe 100% kwani tayari waloenda kupima hawakuwa na imani kuwa watoto ni wao.

Ni sawa na kumpima ukimwi mgonjwa wa TB.


Kwa hiyo wanawake ni watu waaminifu sana? Just imagine: Zaidi ya 60% ya wanaume waliopimwa vinasaba (DNA) kwa Dar wamekutwa wanalea watoto si wao! Inanikumbusha usemi mmoja maarufu kwamba "mama ndiye anayemfahamu baba wa mtoto!"
 
ulikuwa hujui hilo? 96% ya wadada hapa jf walishaumizwa sana, ndio kwanza wanakushangaa ww kuwa mgeni na wanaume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom