I will miss you so much JF!!!

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Kusema ukweli,Jamii Forums ndio imekuwa kimbilio langu la kila siku! Inaniwezesha kujua yanayoendelea humu nchini kwetu.Sijawahi kukosa kuingia JF kwa siku mbili mfululizo,sasa sijapata picha hizi siku nne mfululizo itakuwaje. Nawatakia mafanikio mema MODERATORS,naamini hii yote ni kwa ajili ya maendeleo yetu.Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom