i was wondering if

Epicauta elbovitata

Senior Member
Mar 19, 2012
143
19
Nilikua nauliza kama ni posibo kudownload setup ya program yoyote ya pc kwa sim na kuisav kwenye memorycard alafu baadae ukaistall kwenye pc.
 
inawezekana kabisa ila njia hii inafaa kwa setup zenye saiz ndongo lakin kama memory card yako ni kubwa unaweza download hata setup zenye saiz kubwa
 
unaweza kudownload ata Game nzima, ana movie or Program Yenye ukubwa wowote kadri ya Memory Card Yako inavyoruhusu:cool2:
 
Inawezekana kabisa. Hasa kwa kutumia ucweb browser. Sababu ina download manager nzuli. Ila hakikisha download save kwenye memory card.
 
Back
Top Bottom