I want commit suicide

Status
Not open for further replies.
Mimi nataka kujiua,kwa sababu ingawa Ndugu Rais anasema Tanzania ni kati ya nchi 20 ambazo uchumi wake unakuwa haraka, mimi naona mambo yangu hayaniendei vizuri. Kwa hiyo nataka kufikiria njia paonless ya kujiua;,nafikiria kutumia chlroquine. Wakuu sijui mnanipa usjauri gani? How many pills would I need to terminate my life?

Mtu kama hajaangalia sura yako anaweza akaona unatania mwanaume. Sasa fanya hivi; chukua kitu kinachofanana na bomu hivi hlf pita pale nje ya Ubalozi wa Embassy (upo pale karibu na Zantel HQ) huku inasema taa kiu biiiir! You will be to Hell in no time
 
Jukwaa la siasa na cloroquine

vidonge vinachelesha sana mkuu,we jitundike tu na kama huna kamba sema nikuletee.Nalog off
 
Ww mpuuzi kweli. Maswali yako waulize kwa tartiibu, mmoja mmoja, waliokufa kwa kujiua, watakwambia njia nzuri ya kujiua bila ya maumivu, yaani unakufa huku unachekelea!
 
Wala usihangaike sana wewe kunywa asprini 9 tu na ushushie bapa moja ya konyagi kama maji then wala hutahangaika sana.........parapandaaaaa litaliaaaaaaaaaaaaa parapandaaaaaa
 
Mtu kama hajaangalia sura yako anaweza akaona unatania mwanaume. Sasa fanya hivi; chukua kitu kinachofanana na bomu hivi hlf pita pale nje ya Ubalozi wa Embassy (upo pale karibu na Zantel HQ) huku inasema taa kiu biiiir! You will be to Hell in no time
Ubalozi wa Embassy sio!!?
 
tutacommit suicide wangapi? Duniani uteseke akhera nako uteseke kwa kujidhulumu nafsi! Na kwanza unafkiri siku yako ya kufa iko mbali?
 
Tuambie unakaa wapi tuje kula mpunga.
Kumbuka nunua eneo la kaburi,
Sanda,
Jeneza,
Na gharama zote za msiba ili usilete hasara kwa watu.
 
Mimi nataka kujiua,kwa sababu ingawa Ndugu Rais anasema Tanzania ni kati ya nchi 20 ambazo uchumi wake unakuwa haraka, mimi naona mambo yangu hayaniendei vizuri. Kwa hiyo nataka kufikiria njia paonless ya kujiua;,nafikiria kutumia chlroquine. Wakuu sijui mnanipa usjauri gani? How many pills would I need to terminate my life?

Hii post imeniumiza sababu kuna mtu karibu yetu alikua anaongea hivi hivi kimzaha na tumempoteza.... Sometimes I wish tungechukulia serious, labda angekuwepo. Ganesh Comments za humu ndani zisikukatishe tamaa.... Yawezekana most wamechukullia mzaha sababu ni serious cases alafu umei-post Chit Chat. Lakini this is not a Chit Chating matter (atleast IMO).

Yawezekana umepost kwa kutania.... Ila naamini kabisa mtu mpaka ukapost kitu kama hiki ina maana somewhere at the back of the Brain ni kitu wafikiria..... Nimefurahi thou kua umei-post hapa JF (thou utapata kila aina ya Response ambazo ni negative and postive); for walau inatoa picha your dark thoughts...

Maisha ni magumu kwa woote usije fikiria ni wewe tu..... Na maisha Ganesh in not only about kuyafanikisha yaende vizuri. Ni beyond that, kuna families, friends, wakaribu wako na mengine mengi. Mafanikio yenyewe hayaji mara moja na wala hupewi na JK let alone kiongozi yeyote. Walofanikiwa wengi ni kwa kujiwezesha.... Na wala usitegemee kua kuja kwa Raisi mwingine maisha yatakua rahisi.... Asikudanganye mtu, yaweza kua hata worse. Hivo ukitegemea raise ndo akuboreshee maisha - mawazo ya kujiua yaweza chukua hatamu.

Najua hunijui sikujui.... But atleast we have one thing in common... Na hilo ni kwamba we are both members at JF, Na as your fellow member if you will allow me, let me be your ear.. nitakusikiliza na useme tatizo lako nini.... Ukiwa tayari if you don't mind naomba ni PM. If by any case waona ni usumbufu.... Usijali... wala usisumbuke... Naomba tu niseme I wish you all the BEST.

Pamoja Saaana

AshaDii.
 
Tuambie unakaa wapi tuje kula mpunga.
Kumbuka nunua eneo la kaburi,
Sanda,
Jeneza,
Na gharama zote za msiba ili usilete hasara kwa watu.
Usisahau za turubai.
 
Ufukara wako unalaumu serikali?
Fanya kazi acha kulalamika
OTIS
 
Kujiua siyo maana yake kujitoa mhanga. Wale watu wanaojitoa mhanga ni fanatics. Fanatics maana ni kwamba they are very emotional,they are not intellctual,ni watu wenye hamasa,yaani kama Hamas.
Au kujiua siyo kwenda kumshambulia kiongozi yeyote. Hakuna kiongozi yoyote hapa. Kuna kiongozi wa Universe,kuna kiongozi wa constellation tunayoishi kuna kongozi wa Solar System;,mimi simtazami mtu yoyote na kumfikiria kwamba yeye ni kiongozi.
Kujiua maana yake kuna shida katika maisha yangu.
 
we marehemu mtarajiwa kampige risasi jk harafu ujimalize nadhani thread yako itakuwa na post nyingi kuliko thread ya arsenal..
Rip inadvance..
 
Anayejiua haombi ushauri... Anatenda tu. Ndo nyie mnafunga kamba ya kujinyonga ukisikia mngurumo wa simba unakimbia..
 
Ganesh unataka kuwa Mohammed Bouazizi wetu?

Somebody contact Mama Maria (The Mama Maria) mwanawe anahitaji ndonge. Ganesh unaconfirm rumors za watu kwamba kuna matatizo ya mental health katika familia au ndio unakamilisha mission ya kuwa Bodhisattva ?

I am genuinely concerned.
 
Hii post imeniumiza sababu kuna mtu karibu yetu alikua anaongea hivi hivi kimzaha na tumempoteza.... Sometimes I wish tungechukulia serious, labda angekuwepo. Ganesh Comments za humu ndani zisikukatishe tamaa.... Yawezekana most wamechukullia mzaha sababu ni serious cases alafu umei-post Chit Chat. Lakini this is not a Chit Chating matter (atleast IMO).

Yawezekana umepost kwa kutania.... Ila naamini kabisa mtu mpaka ukapost kitu kama hiki ina maana somewhere at the back of the Brain ni kitu wafikiria..... Nimefurahi thou kua umei-post hapa JF (thou utapata kila aina ya Response ambazo ni negative and postive); for walau inatoa picha your dark thoughts...

Maisha ni magumu kwa woote usije fikiria ni wewe tu..... Na maisha Ganesh in not only about kuyafanikisha yaende vizuri. Ni beyond that, kuna families, friends, wakaribu wako na mengine mengi. Mafanikio yenyewe hayaji mara moja na wala hupewi na JK let alone kiongozi yeyote. Walofanikiwa wengi ni kwa kujiwezesha.... Na wala usitegemee kua kuja kwa Raisi mwingine maisha yatakua rahisi.... Asikudanganye mtu, yaweza kua hata worse. Hivo ukitegemea raise ndo akuboreshee maisha - mawazo ya kujiua yaweza chukua hatamu.

Najua hunijui sikujui.... But atleast we have one thing in common... Na hilo ni kwamba we are both members at JF, Na as your fellow member if you will allow me, let me be your ear.. nitakusikiliza na useme tatizo lako nini.... Ukiwa tayari if you don't mind naomba ni PM. If by any case waona ni usumbufu.... Usijali... wala usisumbuke... Naomba tu niseme I wish you all the BEST.

Pamoja Saaana

AshaDii.

Ganesh si mtu wa kumpuuzia, kama kuna mtu ana contacts za Mama Maria au watu wa familia ya mchonga jamani watafuteni waambieni mwanawao Andy anahitaji kuwa under suicide watch, real talk.
 
umenikumbusha jirani yangu alikuwa amezoea kusema atakunywa sumu ya panya afe kila wakati alikuwa anarudi maneno hayo kilichotokea kweli alikuja kunywa sumu ya kuua panya aliteseka kwa siku hospital ndipo akafa kabla ya kufa tuliopata bahati ya kumtembea hopsital alikuwa anajutia uamuzi wake na alitueleza kisa kilichopelekea kunywa sumu watu tulishanga kisa kilikuwa kidogo kama angeweza kushirikisha watu wa karibu na kumpa ushauri wa kuondokana na shida aliyokuwa nayo naye alisema laiti angelijua angeshirikisha watu lakini alikuwa amechelewa.
Ndugu yangu tafuta suluhisho la tatizo linalopelekea wewe kujiua
 
Let's not trivialize this only to have regrets later on.

To those somehow in the know and somewhat close please do something.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom