Hatutaki kusikia hawa Wamarekani mapandikizi wakishikia bango siasa zetu za Tanzania.
Last time I checked hatuna dual citizenship bado.
Mume wangu mzungu marekani watoto wangu wamarekani na Mimi raia wa USA na na Tanzania ni nchi yangu,naipenda tanzania kupita kiasi.naomba mungu wapitishe dual citizen ili wanangu wawe Raia .sisubiri siku hiyo ikifika hapo Tanzania watakapopitisha na wanangu wawe raia wa Tanzania
Natalia lazima muhaya weye sio bure...unapenda mambo makubwa au kujikweza
Kweli watu wamechoka hivi kumbe mnamchagua Obama kwa kuwa ni mweusi Lol!!!hapo kweli hakuna watu so kwa maana hiyo hata kama mtu mweusi kafanya upuuzi mtampa tu kwa kuwa na nyie ni weusi Pumbavu kabisa.Chagua mtu kwa maendeleo mpe kura yako Mitt Romney uchumi ukue na sio Obama kuongea sana ati America inaomba usaidizi China lol Black people who voted for the colour shame on you.
Mie binafsi siko State lakini nafuatilia sana kila kitu na nimemkubali Romney ni jembe he know what Economy is.
What is a fsical responsiblity? Does this include spending more on the military even when they don't need the money? Does this include spending more on warships? Based on the graph below how fiscally responsible is Romney's plan?
2008 I voted for Obama .Ingekuws 2 more years ningejaribu kumpigia.4 more years hapana[/QUOTE
MAMA RUDI BONGO TUJENGE NCHI PAMOJA!!
KWENYE NCHI ZA WENYEWE UNAFANYA NINI? NJOO TUSAIDIANE KUKIONDOA CHAMA CHA MABWEPANDE. HAYO YA ROMNEY SIDHANI KAMA YANATUHUSU SANA!!
Hatutaki kusikia hawa Wamarekani mapandikizi wakishikia bango siasa zetu za Tanzania.
Last time I checked hatuna dual citizenship bado.
This boldly bedlamite burgeoning burlesk begs to be booed backstage.
2008 I voted for Obama .Ingekuws 2 more years ningejaribu kumpigia.4 more years hapana
My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted
It's not about the color of the skin it's about character,experience and economy .i voted for Obama 2008 . Nyerere alisema Kama unapenda mtu kisa handsome kanywe nae beer.America have changed a lot angalia idadi ya watu wanauridi bongo.yaani it's sad and bad
My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted