I think she doesn't love me anymore,nimejivua gamba.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Ni girl wangu wa cku nyngi sana{ie tangu primary},tulikua tukisaidiana mambo mengi tu,though smtym tulikua tunaznguana na baadae tunasameheana,last tym{ilikua mwaka jana mwezi wa 10} alnambia ana shida flani hvi,nd she was in need of kiac flan hvi cha pesa,ye akatumia lugha ya nimkopeshe,me ckua na kipingamiz nae,nkamtoa fresh,then 2kaendelea na lyf ka kawaida,cha kushangaza tangu mwez wa 11 kanichunia,kila nkpga namba yake naambiwa iko busy,nkituma txts znakua deliverd bt hazijibiwi..wel nimeamua kujivua gamba kwake cuz nadhan she dnt love me anymore though cjui sababu ni nin ilyomfanya achange ghafla namna hyo!
 
afadhali umegundua mapema, STUKA!

Ila kutumia vifupi vya maneno mwapendeani???
 
Senator pole mwaya una bahati mbaya wa wachumba wewe.bora utulize Kama miezi 6 upumue wasije kukupandisha BP.
 
Never give up on a girl you love. Lazima kuna jambo. Jaribu kumtafuta na umuliza mano a mano. Au tafuta rafiki yake akutambulishe hilo jambo linalo msibu. Yawezekana bado anakupenda. Usichukuwe maamuzi ya pupa. Waweza ukajuta.
 
Vua gamba kaka usiishi na BP, mboba mie nimekaa na GF miaka 4 namgharimia kila k2 mpk matibabu akaja kulaghaiwa na mwana apollo. Nilipogundua nikampa pole nakajivua gamba na sasa niko na kifaa mang'anyu. Alipogunndua kaanza kunifuatafuata.
Nimemwambia aliponiona MCHONGOMA, mwenzake kaniona MCHICHA WA MNAFU. Asikuzingue!!!!!!!!
 
..koh!koh!koh!..nimepaliwa na ugoro..!

najiuliza tu kwa namna ninavyowafahamu hawa viumbe (wanawake)...utavua gamba mara ngapi...??!

..Mi nadhan hoja kubwa hapa ni wewe kupima na kutafakari kwamba "do you real love her?"..na kama jibu ni "yes" njoo na thread yenye title ya kutuuliza namna ya kuprotect "what you believe it's yours"...hapa ni uzoefu zaidi..koh koh koh!

goodevening
 
jipe moyo anataka kukucheki ni kwa jinsi gani unamhitaji!ila kuwa makini maana siku hizi mapenzi hayajaribiwi! siku hizi tunabembelezana na sio kubembeleza upande mmoja.
 
Ni girl wangu wa cku nyngi sana{ie tangu primary},tulikua tukisaidiana mambo mengi tu,though smtym tulikua tunaznguana na baadae tunasameheana,last tym{ilikua mwaka jana mwezi wa 10} alnambia ana shida flani hvi,nd she was in need of kiac flan hvi cha pesa,ye akatumia lugha ya nimkopeshe,me ckua na kipingamiz nae,nkamtoa fresh,then 2kaendelea na lyf ka kawaida,cha kushangaza tangu mwez wa 11 kanichunia,kila nkpga namba yake naambiwa iko busy,nkituma txts znakua deliverd bt hazijibiwi..wel nimeamua kujivua gamba kwake cuz nadhan she dnt love me anymore though cjui sababu ni nin ilyomfanya achange ghafla namna hyo!
Mwenyewe ushampa kiinua mgongo.
 
..koh!koh!koh!..nimepaliwa na ugoro..!

najiuliza tu kwa namna ninavyowafahamu hawa viumbe (wanawake)...utavua gamba mara ngapi...??!

..Mi nadhan hoja kubwa hapa ni wewe kupima na kutafakari kwamba "do you real love her?"..na kama jibu ni "yes" njoo na thread yenye title ya kutuuliza namna ya kuprotect "what you believe it's yours"...hapa ni uzoefu zaidi..koh koh koh!

goodevening

Senator, jibu lipo hapa kwa Teamo
 
Inawezekana kijana hausomeki,msichana hawezi ghafla tu akawa kimnya bila sababu,jichunguze wewe binafsi na simu ukipiga kuwa busy au haipatikan,anakuwa ameweka all calls kwenye kitu inaitwa blacklist,hii kwa zile phone za kisasa, akiwa na shughuli zake binafsi,either amepumzika au anasoma kama dent,na akiweka simu yake kwa blacklist nyingine mpaka msg ukituma itaandika delivered but yeye haipati kabisa kumuondolea usumbufu.ila later unaweza mtafuta ukamkuta yupo hewan.Mchina kaleta mambo mazur.
 
Huyo binti hakufai tena, hiyo pesa atakuwa amekopa kwa niaba ya boy friend wake mpya ambae aliahidi atarudisha mapema sasa mambo yamekuwa mambo coz demu hakusema kwamba amechukua pesa kwake anajua amepewa na demu wake kwahiyo yule mshikaji haoni umuhimu wa kurudisha.
 
Back
Top Bottom