I think LUSINDE had a point katika ile infamous speech yake

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
wakati wa kampeni za ARUMERU, lusinde alitoa maneno makali sana, lakini mimi baada ya kusikiliza na kutafakari nimegundua kuna point ya msingi pale iliyokuepo! JE NI VIBAYA au DHAMBI kwa mtoto kufuata kazi ya baba yake? wewe kama mwalimu, ni vibaya kwa mwanao kuwa mwalimu? je wewe kama daktari ni vibaya kwa mtoto wako kuja kuwa daktari? na je ni vibaya kwa watoto wa wanasiasa kuwa wanasiasa hapo baadae? mtoto wa bush alikuja akawa raisi na yeye kama baba yake, je kwetu TZ ni rahisi kweli kwa mtoto labda wa JK au hata MBOWE kuja kuwa wenyeviti wa vyama vyao??
 
Hakuna ubaya kufanya kazi aliyofanya baba yako. Shida inatokea pale ukiangalia mtoto yule amepata ile kazi kivipi. Mara nyingi watoto wamepata hizo kazi kutokana na upendeleo kwa vile baba zao walikuwa na wadhifa.Katika hali hiyo watoto wa watu wa kawaida hawapo katika ushindani sawa na watoto wa vigogo.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
wakati wa kampeni za ARUMERU, lusinde alitoa maneno makali sana, lakini mimi baada ya kusikiliza na kutafakari nimegundua kuna point ya msingi pale iliyokuepo! JE NI VIBAYA au DHAMBI kwa mtoto kufuata kazi ya baba yake? wewe kama mwalimu, ni vibaya kwa mwanao kuwa mwalimu? je wewe kama daktari ni vibaya kwa mtoto wako kuja kuwa daktari? na je ni vibaya kwa watoto wa wanasiasa kuwa wanasiasa hapo baadae? mtoto wa bush alikuja akawa raisi na yeye kama baba yake, je kwetu TZ ni rahisi kweli kwa mtoto labda wa JK au hata MBOWE kuja kuwa wenyeviti wa vyama vyao??

Leo kwenye mahojiano TBC1, Lusinde ameigeuka hiyo 'point' unayoisema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom