I Think I love my wife

Huwa tunapenda kujibu tu, ooh mi nampenda sana mke/mume wangu, kwa sababu ni mke/mumeo. Hivi umeshawahi kuliwaza kwa undani... Mi nimefanya hivyo... na nadhani nampenda mke wangu.

You think?????? Or you Love???
 
unafikiri ila huna hakika kama unampenda? ukweli kama 'unafikiri' ni kuwa humpendi kama unampenda haina haja ya kumpenda
 
Huwa tunapenda kujibu tu, ooh mi nampenda sana mke/mume wangu, kwa sababu ni mke/mumeo. Hivi umeshawahi kuliwaza kwa undani... Mi nimefanya hivyo... na nadhani nampenda mke wangu.
yule mwenye kovu la jipu chini ya kalio la shoto?
 
Tuko, njia pekee ya kuhakikisha kama unampenda ni KUMFUKUZA kwa muda wa wiki 2 hadi 4, then you can confirm if u love her or not.
 
Bwana eeh ukiniambia i think i love you, na mi nakujibu hubby i think i love you too. Nakusindikiza na bonge ya kiss kwan nin bana.
 
Back
Top Bottom