I saw this in a certain web!

Hussein Njovu

Senior Member
Sep 25, 2006
186
74
25ee7__Vnh3Z.png
 
Yaani waamaanisha tunakua hatuna cha kufanya (Upuuzi mwingi) na muda unapita bila accountability yeyote ama?!
 
Hiyo caption haihusiani na chochote kuhusu Africa.
1 minute = 60 seconds
Au Europe 1 min yao ina zaidi ya 60 secs?

Lakini nimependa pozi la hao madogo.
 
What a message mkuu.....maake mimi ni hola.



Mkuu kuna kaukweli hapo,hata kama baadhi ya watu wanaweza kuona kuwa tunadharauliwa lakini ukitazama watu wanavyojiachia kwa kucheza ngoma,idadi wa wategemezi kulinganisha na wafanyakazi,pamoja na muda mwingi tunaopoteza kwa mambo yasiyo ya msingi basi utaona wazi kuwa asilimia kubwa ya waafrika kadri muda unavyokwenda basi wao wanaongeza siku za umri tu lakini ukijiuliza wamefanya nini kujiletea maendeleo yao binafsi achilia mbali maendeleo ya Taifa jibu linakuwa sifuri,ni mambo ya aibu kwetu lakini ndio ukweli wenyewe yatupasa tubadilike na kujali muda.
 
Mbona kama hujagungua picha inazungumzia nini unaanza kulaumu wazungu?? Mbona tunapenda kulaumu sana?????? we have to change!!

Tatizo sisi wazungu kila tunachokifanya basi ninyi waafrica mnaona ni ubaguzi au matusi.

anyways ni nafahamu ni Inferiority complex tu. poleni sana.
 
Tatizo sisi wazungu kila tunachokifanya basi ninyi waafrica mnaona ni ubaguzi au matusi.

anyways ni nafahamu ni Inferiority complex tu. poleni sana.
tatizo lenu nyie wazungu mnapenda kuiga majina ya Kiafrika. Azikiwe ni pure African.
 
It means time, in Africa, is running as it should be -- neither slower nor faster.
 
Back
Top Bottom