I salute and love men

Unanikumbusha siku moja nikiwa zenj kuna baba wa watu msukuma mkokoteni alikuwa amejaza mkokoteni wake mkaa mpaka pomoni,kafika katikati ya mataa ya darajani mzigo ukamwelemea hivyo mkokoteni kukwama.Akiwa anaangaika kujinasua na dhahama ile kwa muda bila ya mafanikio,katika daladala niliyokuwemo mama mmoja akasema,"Hakika waume zetu wanaangaika sana kututafutia chochote lakini bado mume wa mfano huu akirudi nyumbani unampokea kwa maudhi"
Women sometimes are required to appreciate what their men do to make life go on.

Wanawake wote wangekuwa na fikra kama hizo nadhani hata idadi ya ndoa zenye matatizo ingepungua sana!
 
Haya jamani, nashukuru sana kwa mawazo yenu kufuatia mchango wangu kwenye mada hii. Kwanza mtoa mada naomba usinielewe vibaya kwa nilichochangia, maana nilichoandika nakielewa! na naendelea kukisapoti ingawa "the boss"aliona nimekurupuka, na wengineo. Lakini Noname ni hivi......

KAMA WEWE UMEONA HIVYO NA UMEAMUA KUWAPA HONGERA SAWA MIMI SIPINGI, na huenda mumeo ama BF wako yuko hivyo pengine, lakini mimi nilifikiria kwa uelewa wangu wa maisha na ndoa nyingi zenye matatizo nilizozishuhudia, ndio maana nikatoa mawazo kuwa kama kwa upande wako kuzuri kwa jinsi ulivyochambua basi hongera sana.

Lakini sio kwa wote, jamani kila kitu kina negative na positive zake, mimi nafahamu kuwa wapo wanawake wanaolia kila kukicha kutokana na visa na mikasa ya waume, au wanaume zao! Alafu kuna watu waliuliza mimi mke ama mume mimi sydney ni mke!

Asanteni. Again;;;; huu ni mtizamo tu jamani, haina haja ya kuwa na jazba kama za the boss! looh!
 
Hii siku naona imeanza vizuri..ngoja kuna 'waosha vinywa' wakiamka hapa itakuwa hapatoshi

like this one here?

Hongera kama mumeo yuko hivyo! Lakini sio wote mwenzetu waume wanatofautiana! Kuna wenzio wanalia kila siku kwenye majumba kwasababu hizo hizo ulizoziainisha wewe. Again kama wako yuko hivyo shukuru mungu tuu, na unyamze!


Senkyu sana usiye jina.
 
Just like most said, if only all women could think like you, this would have been a wonderful world. Marriage would ahve not been tainted & a perceived as it is now. Its a bother that no day passes without thinkin and asking myself, 'Where will i get the right woman? Does this world have one in stock for me?
My wish is that you advocate women to think in your lines and hopefully, parhaps, we shall mould the bent ones into nice babes to keep up with.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom