Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,591
Hello wapendwa kwa kweli nimemiss sn hili jukwaa na wadau wake. Niko likizo ya uzazi na namshukuru sn Mungu kwa kujaliwa baby boy.nawapenda wote
Hongera sana kwa kuniletea mjukuu. Mjukuu wangu anaitwa nani?