Kiroroma
JF-Expert Member
- Feb 6, 2009
- 370
- 114
Wadau katika utafiti nilioufanya kwa kipindi cha miaka 20 sasa ni kwamba nimegundua kuwa wanywaji wengi watoto wao huwa na I.Q ya juu zaidi kuliko ya wale ambao hawaonji kabisa pombe.Jaribu haya yafuatao;
Kwanza,Watoto mnaowaita vipanga darasani historia ya wazazi ni wanywaji au babu/bibi zao walikuwa wanywaji.
Pili,Wale tunaotoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako gongo ni pombe ya kawaida,angalia analysis yetu ni tofauti na wale watokao ukanda wa kati.
Tatu,Warusi wengi ni walevi na darasani ni moto wa kuotea mbali.
Nimekusanya data nyingi na michanganuo tofauti kutoka sehemu mbali mbali za dunia nami nimefikia conclusion kama hiyo.Wadau kwenu kwa data zaidi.